MANKA MUSA
JF-Expert Member
- Jul 9, 2014
- 923
- 1,101
IPTL/PAP inajua ni namna gani
hisa za VIP walivyozinunua. Vilevile inafahamu namna hisa
za Mechmar zilivyo nunuliwa sisi ni wataalamu wa masuala ya
biashara , uwekezaji, uzalishaji, na viwanda hii si siasa
wafanye siasa yao bila kuingilia masuala ya kitaalamu.
Kupoteza muda wa watanzania kuwajadilisha masuala binafsi
tena kwa uongo wa hali ya juu ni jambo ambalo halivumiliki
kuwakalia kimya wanasiasa kwahivyo ni kuutumia vibaya muda
wa watanzania.