Tecno User Vs Samsung and iphone user

Tecno User Vs Samsung and iphone user

Binafsi nmetumia tecno h6 for 3years now natumia Samsung J7 pro ila sijaona tofauti kubwa baina yao, tofauti kubwa ni majina tu
TECNO H6
Display = (11.43 cm)
Resolution = 480 X 854 Pixels
Android = V. 4.4 Kitkat
Quad core 1.3 Ghz Cortex A7
1 GB RAM
Battery = 2340 mAh
Camera = 8 MP

SAMSUNG J7 Pro
Display = 5.5
Resolution = 1080 x 1920 poxels
Android = 7.0 (Nougat)
Quad core 1.6 Ghz Cortex A53
3 GB RAM
Battery = 3600 mAh
Camera 13 MP

Ni kweli simu hizi mbili zipo sawa? Kwamba tofauti kubwa iliyopo baina ya H6 na J7 Pro ni jina tu? Nasema hivi, mabadiriko ya kifikra huanzia katika kukubali/kujikubali.
 
Mkuu tecno H6 ifananishe na sumsung s1 maana ata hivyo H6 imetoka zamani kuliko ata s1 hivyo specification zake haziwezi kuwa sawa.

Hiyo J7 yako iweke hapo na tecno Camon specification zake ndio huje na hoja zako.
 
Soma vizuri kaka, nimequote maelezo ya mhusika aliyesema haoni tofauti yoyote kati ya H6 na J7 Pro. Msahihishe mtecnolojia mwenzetu
 
Mkuu tecno H6 ifananishe na sumsung s1 maana ata hivyo H6 imetoka zamani kuliko ata s1 hivyo specification zake haziwezi kuwa sawa.

Hiyo J7 yako iweke hapo na tecno Camon specification zake ndio huje na hoja zako.
Kabla ya ku comment hapa na kutoa compliments kwa h6 ulitakiwa kumuelimisha mlengwa kwamba hata IWEJE, H6 hiwezi kuwa SAWA na J7 Pro.
Screenshot_20180911-110445.jpg
 
TECNO H6
Display = (11.43 cm)
Resolution = 480 X 854 Pixels
Android = V. 4.4 Kitkat
Quad core 1.3 Ghz Cortex A7
1 GB RAM
Battery = 2340 mAh
Camera = 8 MP

SAMSUNG J7 Pro
Display = 5.5
Resolution = 1080 x 1920 poxels
Android = 7.0 (Nougat)
Quad core 1.6 Ghz Cortex A53
3 GB RAM
Battery = 3600 mAh
Camera 13 MP

Ni kweli simu hizi mbili zipo sawa? Kwamba tofauti kubwa iliyopo baina ya H6 na J7 Pro ni jina tu? Nasema hivi, mabadiriko ya kifikra huanzia katika kukubali/kujikubali.

IMG_20180911_111250_653.JPG

Key Features

Brand – TecnoModel Camon X ProAlternative Names – CA8Device Type – Android 4G SmartphoneCPU – Octa-Core (4 x 2.0GHz ARM Cortex-A53, 4 x 1.5GHz ARM Cortex-A53) CPU ClockChipset – MediaTek Helio P23 MT6763V, 64-bit ProcessorGPU – ARM Mali-G71 MP2, 700MHz, 2-Cores GPUCamera – 16 MP f/2.0 Quad-LED flash and AF Rear Camera | 24 MP Front camera with Dual-LED FlashMemory – RAM- 4GB LPDDR3, 1600MHz | ROM 64GB External Memory Support up to 128GBDisplay – Screen size 6.0 inches IPS, FHD+ (1080 x 2160 Pixels) 18:9 Aspect RatioBattery – Non-Removable 3,770 mAh Lithium-PolymerSIM – Dual SIM (Nano-SIM+ Nano-SIM)Sensors – Proximity Sensor, Accelerometer, Ambient Light, Fingerprint, CompassColor – Black, RedOperating System – HiOS 3.3 (Android 8.1 Oreo)I/O Interface – 1 x Nano SIM Card Slot, 1 x Nano SIM Card Slot, microSD/TF Card Slot, USB Port, Power Button, Volume Button, Microphone, SpeakerDimensions – 157.95 x 75.2 x 7.8 mmWeight – Grams (with Battery)Versions – Single Variant Available (4GB/64GB)More Feature – Metal and Plastic Body Design, LTE Cat 6 301 Mbps Download, 51 Mbps Upload, Nougat OS, Computer Sync, OTA Sync, Tethering, VoLTE Support, Face ID, 5V/2A Charger Output Power.
 
Mkuu tecno H6 ifananishe na sumsung s1 maana ata hivyo H6 imetoka zamani kuliko ata s1 hivyo specification zake haziwezi kuwa sawa.

Hiyo J7 yako iweke hapo na tecno Camon specification zake ndio huje na hoja zako.
Kama nitakuwa nimekuelewa vizuri kaka, tuwe rational, J7 Pro ni ya June, 2017, Camon X Pro naona hapo ni ya April, 2018.
 
Kama nitakuwa nimekuelewa vizuri kaka, tuwe rational, J7 Pro ni ya June, 2017, Camon X Pro naona hapo ni ya April, 2018.
ila umeonaje hizo specification zake sumsung yako inagusa hapo mkuu?
 
ila umeonaje hizo specification zake sumsung yako inagusa hapo mkuu?
Unamaanisha S7 edge yangu mkuu? Hapana haigusi. Kwa nadharia, hiyo simu ni zaidi ya I phone X, "kwa nadharia".
 
ilikuwa inauzwa kam 500k na ushee hivi ila now unaweza kuipata ata kwa 470k.
I phone X inauzwa zaidi ya 2 Milioni. Katika hali ya kawaida, inawezekanaje? Kwa kutumia hekima ya kawaida tu utakubaliana na mimi kwamba, watengenezaji wanacheza na akili ya watanzania wengi kwa kuweka namba kubwa kwa baadhi ya vitu ktk simu kama RAM, CAMERA, MEMORY, Battery nk, maana hiyo simu kiubora ilipaswa kuwa zaidi ya I Phone X hivyo ingeuzwa zaidi ya 3M. Kinadharia ina tarakimu kubwa, tarakimu hazibashiri perfomance yake. Au unaweza linganisha perfomance ya I phone X yenye 3GB RAM, 12 MP camera na kadha wa kadha na Camon X pro?
Zungumza uhalisia tafadhali kwa faida ya wengi.
 
utamu wa iphone kwanza upo kwenye security system yake ndio maana simu hz hutumika ktk nchi zilizoendelea kwa sababu kule hackers who can access private details n wengi sana sio kama huku,pia faida ta iphone n flexibility yake ktk matumiz,sio rahs kujizimazma ovyoovyo kama tekno zifanyavyo,its searching machine hazsumbui kama za tekno,utakuta tekno unasearch issue fln google ila inakupeleka usikotaka kabisa...pia uimara wa spika zake,hz tekno ukitumia after one year spika zake hupungua ubora,hadi mm nikiwa sehemu isiyo nawatu naweka loudspeaker wakat wa kuongea maana inaumiza nikiweka sikion..utamu wa iphone upo pia ktk kamera zake hasa kwa mtu ambaye anapiga picha hasahasa wale watu wenye kufuatilia mambo ya siri yahusuyo organization au serikali...iphone inafaida sana tu jmn ...ila kwetu cc wabongo tunajua faida ya smartphone n kuingia ig,jf fb,na whatsp bhc.

Umezungumza mambo mengi lakini nasikitika kukwambia kwamba kiufundi/kiteknilojia hayana mantiki,simu karibu zote zinatumia hardware zinazo fanana kuanzia processor na chipsets mpaka operating systems save iphone na black berry ambazo os zake ni tofauti lakini hardware ni zile zile.

Kusema kweli maoni yako yamekaa kaa kishabeki zaidi kuliko kiuhalisia,lengo lako ni kutaka kuonyesha kwamba Watanzania wanao miliki simu za Techno ni washamba au masikini vile wakati wewe katika maoni yako unaonekana wazi wazi uelewi vizuri jinsi mobile phones zinavyo undwa/ fanya kazi,kuanzia kwenye: hardware,firmware,software:OS na apps zake; ndio maana unatujia na madai eti Techno inasumbua kwenye google!! nani kakwambia kwamba kampuni ya Techno inahusika katika masuala ya ku-code search engines za mitandaoni??? mara eti speaker za techno zinakorofisha baada ya mwaka mmoja kupita, nani kakwambia kampuni ya Techno ina-install an embeded timer ya ku-degrade quality za speaker baada ya mwaka mmoja kupita? mara, sijui iphone haiwezi kuwa hacked - kuna ukweli gani katika madai yako kuhusu suala hilo? Bottom line is: msitake kukatisha tamaa watanzania wenzenu, Watanzania wana akili timamu za kuchagua wanacho kipenda kutegemeana na mifuko/mahitaji yao.
 
Umezungumza mambo mengi lakini nasikitika kukwambia kwamba kiufundi/kiteknilojia hayana mantiki,simu karibu zote zinatumia hardware zinazo fanana kuanzia processor na chipsets mpaka Operating Systems save Iphone na Black Berry ambazo OS zake ni tofauti lakini hardware ni zile zile.

Naona maoni yako yamekaa kaa kishabeki zaidi kuliko kiuhalisia,lengo lako ni kutaka kuonyesha kwamba Watanzania wanao tumia simu za TECHNO ni washamba au masikini vile wakati wewe katika maoni yako unaonekana wazi wazi uelewi vizuri jinsi mobile phones zinavyo undwa/ fanya kazi,kuanzia: hardware,firmware,software:OS na apps zake, ndio maana unatujia na madai eti TECHNO inasumbua kwenye google!! nani kakwambia kwamba kampuni ya TECHNO inahusika katika masuala ya ku-code search engines za mitandaoni??? Mara eti speaker za Techno zinakorofisha baada ya mwaka mmoja kupita, nani kakwambia kampuni ya Techno inaweka timer ya ku-degrade quality za speaker baada ya mwaka mmoja kupita? mara, sijui IPhone haiwezi kuwa hacked kuna ukweli gani katika madai yako. Bottom line is: msitake kukatisha tamaa Watanzania wenzenu, wana akili timamu za kuchagua wanacho kipenda kutegemea na mifuko/mahitaji yao.
Watumiaji wa tekno wabishi sana .....bhc mkuu tekno n sawa na iphone....umeshinda au sio....ila ukweli utabaki palepale tekno n simu za nchi maskini sana.....sina muda wa kukufanya uamin kuwa ubora wa tekno uko chini kulko iphone,kama kwako iphone n sawa na tekno poa tu hyo n kimpango wako wew,hata tandale n sawa na masaki mwingne anaamin hvo ila kusema iphone n sawa na tekno in quality juu n upumbavu na sio ujinga maana umevuka mipaka ....ushabiki wa kipuuz usio na fact kama huu nishaachana nao...mm natumia tekno ila najua iphone au Samsung sio sawa na haya makopo ya mchina...amini ujuavyo wew ..kimpango wako
 
I phone X inauzwa zaidi ya 2 Milioni. Katika hali ya kawaida, inawezekanaje? Kwa kutumia hekima ya kawaida tu utakubaliana na mimi kwamba, watengenezaji wanacheza na akili ya watanzania wengi kwa kuweka namba kubwa kwa baadhi ya vitu ktk simu kama RAM, CAMERA, MEMORY, Battery nk, maana hiyo simu kiubora ilipaswa kuwa zaidi ya I Phone X hivyo ingeuzwa zaidi ya 3M. Kinadharia ina tarakimu kubwa, tarakimu hazibashiri perfomance yake. Au unaweza linganisha perfomance ya I phone X yenye 3GB RAM, 12 MP camera na kadha wa kadha na Camon X pro?
Zungumza uhalisia tafadhali kwa faida ya wengi.

Mkuu ipo Camon x ambayo bei yake ina range kwenye laki 5 to laki 4 na nusu hiyo tofauti ina Ram 3 pia ipo hiyo Camon X pro hiyo ina Ram 4 bei yake ni laki 7 mpaka hapo laki 6 ila sasa hivi zimeshashuka bei mkuu.

Feature ya Camon X pro kama nilivyokueleza lakini future hiyo ukiikuta kwenye Samsung au i phone lazima bei ya simu izidi milioni na usheee.

Lakini kwenye tecno tunanunua kwa bei chee tu.

Tecno Camon X Pro Key features

OS: HiOS V3.3 based on Android 8.1 OreoSIM

Type: Dual SIM (Nano)4G LTE: YES, LTE

Screen Size: 6.0-inch FHD+ displayScreen

Resolution: 2160*1080 pixelsProcessor

Type: Octa-core 2.0GHz MediaTek Helio P23

ProcessorRAM: 4GBInternal Storage: 64GBExternal Storage:

microSD, up to 128GBBack / Rear Camera: 16MP Back Camera with Quad-Ring flashFront Camera: 24MP front camera with dual LED

flashBattery: 3750 mAh (non-removable).
IMG_20180911_111250_653.JPG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom