Tecno User Vs Samsung and iphone user

Tecno User Vs Samsung and iphone user

Haijalishi unatumia simu ya aina gani kama wewe simu yako ni made in China sisi sote ni ndugu. Aliyetengeneza yakwako ndiyo katengeneza ya kwangu,unapiga kelele wakati wewe mchina na mimi mchina pumbaaaaaaaaavu
Ahhahaahha. Vp mkuu kuna shida?
 
kweli tusitambiane simu...
mi nnadrive nna nyumba nna ma bizness kibao halafu kasharo baro kanitambishie iphone ya laki 6...
 
Haijalishi unatumia simu ya aina gani kama wewe simu yako ni made in China sisi sote ni ndugu. Aliyetengeneza yakwako ndiyo katengeneza ya kwangu,unapiga kelele wakati wewe mchina na mimi mchina pumbaaaaaaaaavu
Tena fumbavu sana
 
CX cha mtoto now days tumia camon x pro ina 4ram, 64GB, 24MP, face id, camon x pro ndo baba lao tecno
Tecno forever futures ambazo kwa i phone au samsung unapata kwa milioni na zaidi huku tecno tunapata kwa bei chee kweli wajinga ndio waliwao.
 
Tecno kwa mapichapicha ni KIBOKO uzuri wake ni affordable yaani features za Tecno let's say j8 ikiwa ni za Samsung tungennunua labda 2millionView attachment 861103
Hzi tecno bas tu ni uhaba wa bajeti ila hazifai kabisa mauza uza kibao...mara istack mara izime.....ukipigiwa inaita lakini haionyeshi chchte, ukiweka mfukon unakuta imewsha tochi, wifi, na bluetooth....daa soon ntahamia iphone..nivunje tu kibubu changu
 
Mie natumia Samsung nao japokuwa Zero kanisema huyooo. 😂😂. Wewe je au ndio Team Tecno. 😜😜😜

Umeadimika sana pia kulikoni?
ha ha ha ha haaaaa Samsung ndo simu yangu nayotumia zaidi coz iko simple, japo pia iphone natumia but si kwa sana, unajua sisi tuliozaliwa BC technolojia imetupita mbali🙂🙂🙂
Nipo mkuu majukumu ya kusaka mkate yalikuwa yamenitinga sana🙂🙂 nawe pia umeadimika Mkuu😀😀
 
Oooh. Kumbe tunaweza imba wimbo mmoja hapa. 🙈🙈

Mie niliadimika kwa kusaka mkate vivyo hivyo ila nimerudi ndugu yangu. Wazima huko?
 
Oooh. Kumbe tunaweza imba wimbo mmoja hapa. 🙈🙈

Mie niliadimika kwa kusaka mkate vivyo hivyo ila nimerudi ndugu yangu. Wazima huko?
Wazima kabisaaa wanakusalimia sana, sijui huko kwako wazima?
haya karibu sana kama hutoadimika tena, najua umeshaweka mipango sawa ya kuhakiksha mkate wa kila siku unaflow kiurahisiiiii😀😀😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom