Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,019
- 125,985
😂😂😂😂 naona umepata mwenzio.Ni salama kabisa tecno yangu leo imeniamsha kwa ring tone ya bila kutegesha nafikiri imeshaanza kujua muda wangu ninaomka.
ila katamu haka katecno kangu.
Haya farijianeni yetu macho. 😜😜😜