Usinunue iphone bila kuwa na matumiz yake ya msng,yaan usinunue kwa sababu tu unataka kujitofautisha na watumia tekno,aisee utapata taabu sana...nlkuwa na rafk yangu kioind Niko first year sasa alkuwa anatumua iohone 5 sasa shida ikaja kwenye kuinsralk apps za masomo mfano kuna apo inaitwa "teach me anatomy " kwa waliosoma anatomy wanaijua,aisee kwa cc watumia tekno tunapakua Bure tu kutoka play store ila yy aliambiwa hawez kuipakua kutoka appstore had alipe tz10000 ,ilibid alike tu hakuwa na namna,baadae aliiuza kwa bei ta hasara,saiv anatumia infinix tu...karud android...iphone sio za kukurupukia