Tecno User Vs Samsung and iphone user

Tecno User Vs Samsung and iphone user

Hemb tuwe wakweli watu weng hutumia tecno kwa sbb ya either
1. Njaa(hili n suala la kawaida)
2. Ubahili(Nature na weng wapo kwenye kund hili)
3. Kutokua na uelewa wa ubora wa makampun mengne, kudanganyana(anakuambia tecno ina camera nzur sana, unaijua samsung wewe?) na urahisi wa upatkanaji
4. Mawazo mgando (Eti ikipotea au kuharbika siingii gharama kubwa.
5. Mkumbo, wateja wa tecno wanaongoza kwa kuigana, unakumbuka enz za H6, C8, C9, BOOM J7? ASAIV SPARK SERIES, yan ukpta pale aggrey ukiangalia chin kila boks lilitupwa ilikua n H6, c8, c9, boom j7 leo hii n spark, halaf wanakuaga na haraka kinyama, yan kabla hujamuwekea accessories za cm kwenye boks ashabeba cm amesepa na ma selfie kibao ashapiga,

Sent from my iphone x and samsung galaxy note 9 at once, nimezinunua jana pale karume karibu na duka la mapajama
No. 1 ndo jibu sahihi zaidi... bahati mbaya huo ndio ukweli mchungu
 
Wengine wanatumia huku wakijificha
Tecno yangu Spark (K 7) for everywhere niko natumia kwa uhuru kabisa tena na ilivyo iko sense ya kutosha plus fingerprint security basi niko murua kabisa
 
Hemb tuwe wakweli watu weng hutumia tecno kwa sbb ya either
1. Njaa(hili n suala la kawaida)
2. Ubahili(Nature na weng wapo kwenye kund hili)
3. Kutokua na uelewa wa ubora wa makampun mengne, kudanganyana(anakuambia tecno ina camera nzur sana, unaijua samsung wewe?) na urahisi wa upatkanaji
4. Mawazo mgando (Eti ikipotea au kuharbika siingii gharama kubwa.
5. Mkumbo, wateja wa tecno wanaongoza kwa kuigana, unakumbuka enz za H6, C8, C9, BOOM J7? ASAIV SPARK SERIES, yan ukpta pale aggrey ukiangalia chin kila boks lilitupwa ilikua n H6, c8, c9, boom j7 leo hii n spark, halaf wanakuaga na haraka kinyama, yan kabla hujamuwekea accessories za cm kwenye boks ashabeba cm amesepa na ma selfie kibao ashapiga,

Sent from my iphone x and samsung galaxy note 9 at once, nimezinunua jana pale karume karibu na duka la mapajama
Wapondaji wengi wa Tecno wengi wao huwa ni walimbukeni tu.
 
Natumia tecno w5 lite,wadau iko vipi hiyo
w5 kavu ndio nzuri zaidi, bila shaka hiyo yako haina fingerprint sense!.. Ila zishatolewa sokoni w5 aina zote wamebakiza w4,w3 ambayo sawa na vitochi tu!. Spark Series ndio mbadala wa w5!..
Ipo vizuri ila baada ya muda Camera yake inakuwa inatoa blurr image!..
Mziki upo Sony Experia Z5!..
 
Wapondaji wengi wa Tecno wengi wao huwa ni walimbukeni tu.
Siyo upepo tu kaandika kwa mihemko kinyamaa
Umeandika upepo kama betri za samsung!
Take it easy brothers, hapa n furahsha genge tu, huwez amin ila baada ya samsung yangu kwenda na wenye mikono mirefu hapa natumia nokia n73 ya mwaka 2006(12 yrs ago) na nilitoa 125k kuinunua miez minne iliyopita, Kwa sbb zangu binafsi tecno siwez kutumia kiukweli ila sipondi watumiaji n suala la uchaguz ndo mana mwingne anaweza anishangae natoa 125k kununua cm ya mwaka 2006 kikwete ana mwaka mmoja kweye urais
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom