Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,077
- 122,412
Hahaaa. Sesten umeona alivyonambia lakini?😀😀😀
😂😂😂
Hahaaa. Sesten umeona alivyonambia lakini?😀😀😀
Eti ufunge ndoa na nini!!? amakweli walijesemea wahenga..................................hakuchagulii tusiHahaaa. Sesten umeona alivyonambia lakini?
😂😂😂
Pole sana dada akeHaukuwa nia Kaka maana kila nkiwa nyumbani sipo hewani nikajione hapana aisee.
Hahaaa. Ila Mtani wangu yule si wajua tena mtani anaweza kwambia hata vile vya kweli. 😂😂😂😂Eti ufunge ndoa na nini!!? amakweli walijesemea wahenga..................................hakuchagulii tusi
Najua atakutaka radhi tu Hajar maana ameteleza kwakweli
pambaneni na tochi zenu mkuuna sisi watumia vitochi
Ndio raha ya kua na makabila lukuki Tanzania HajarHahaaa. Ila Mtani wangu yule si wajua tena mtani anaweza kwambia hata vile vya kweli. 😂😂😂😂
Jamani lakini kweliHahaaa. Ila Mtani wangu yule si wajua tena mtani anaweza kwambia hata vile vya kweli.![]()

We unamatatizo ujue,nimecheka sanaMaendeleo Hayana Chama
MkuuWe unamatatizo ujue,nimecheka sana
Hahahaa. Sawa sawa kabisa siwezi sahau aisee Sesten 😜😜😜Ndio raha ya kua na makabila lukuki Tanzania Hajar
Yaani hukosi mtani popote utakapokua
Ila kuna ile mikaangizo ya masapta sapta ulisema saa zile, utakapokua unapika usisahau na Kibanda Meno😀😀😀
😂😂😂 sio kweli banaa.Jamani lakini kweli![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Niliwahi kuwa na Sony T (LTE) ilikuwa nzuri sana. It's downside ilikuwa betri. Nikahamia LG G2, camera yake ilikuwa mbayaaa, ikaanguka ikapasuka kioo, nikahamia Sony T3, hii ilikaa mwezi tu. Siku moja nafanya tethering la laptop, ikafa sehemu ya sim card, nikabiwa spare hadi iagizwe China, bull sh#t.Watumiaji wa Sony nahisi nmebaki mimi tu.
Hiyo ilikua mbovu mkuu..mimi nilikuwa na tecno c9, it was perfectNgoja waje mpambane ila kiukweli Tecno niliwahi tumia na ikanizingua upande wa Network yaani ukiwa mjini ndio unapatikana nikirudi home ni kama nina kopo tu.
Toka hapo sijawahi tumia tena Tecno aiseee na sitatumia tena. Ilikuwa Tecno C9 hiyo.
Andaa miloni 1 mzigo wa dukani.WAKUU,
NITAJIENI BEI YA NOKIA ONE NIKABEBE MZIGO FASTA.