Sasa hapa ndipo hakuna ukweli. Unadhani CHIP ambayo haiwezi kupokea System Updates itaweza kupokea Kirusi kitakachoenda kwenye System files (root files).soc gani inayokaribisha kirusi? mediatek, unarudi pale pale, wanaotumia simu za snapdragon au exynos wanavisikia redioni tu hivyo virusi na hata vikiingia vinatoka dakika sifuri tu sababu havijieki kama system app.
mkuu naongea kwa uzoefu sio simu moja wala kumi ni simu kibao nimeshaletewa za design hio,Sasa hapa ndipo hakuna ukweli. Unadhani CHIP ambayo haiwezi kupokea System Updates itaweza kupokea Kirusi kitakachoenda kwenye System files (root files).
Labda kama umeroot simu yako hapo utakuwa umejiloga mwenyewe na sio MTK
Natumia c9 wala hainisumbui kabisa inapiga mzigo fresh kabisa.Natumia j7 pia wala sija experience lolote hapo..
Ndugu hivyo siyo virusi tu ni majasusi hizo ic wanaunda wao hizo snapdragon ni dhana chini ya FBI na CIAsoc gani inayokaribisha kirusi? mediatek, unarudi pale pale, wanaotumia simu za snapdragon au exynos wanavisikia redioni tu hivyo virusi na hata vikiingia vinatoka dakika sifuri tu sababu havijieki kama system app.
hayo mambo ya kina cia hayaepukiki kwa soc zote hapo tunazungumzia sisi kwa sisi, kama hutaki cia utumie feature phone kama nokia tochi, au utumie smartphone kama za sailfish na os nyengine ambazo sio za marekaniNdugu hivyo siyo virusi tu ni majasusi hizo ic wanaunda wao hizo snapdragon ni dhana chini ya FBI na CIA
Hapo umeongea kama wazee mia moja wenye busara.Visimu vingine ni majina tu wanauza!Tecno kwa upande mwingine zmesaidia sana maana mtu anaweza kutumia smartphone at a reasonable price imagine soko lingekua na samsung tu na iphone watu ambao wangekua wanatumia mitandao ya kijamii wangekua wachache sana na information zingekua znaenea slow kama bado tupo analog na pia tecno bado ni kampuni ndogo na hajaanza mda kama samsung na zingine but kwa ukuaji wao soon watafika mbali alafu hata hao samsung mbona wana simu low quality kama duos zao baadhi alafu kutumia aina flani ya simu ni mapenz tu ya mtu mfano binafsi najua uwezo wa simu kama iphone ulionayo lakn kamwe sitakuja nnua iphone kwasababu tu sina mapenzi nazo so wandugu tusiiponde sana tecno ts still a young company tryn to get there walipofika kampuni nyingine na wanakua tena kwa kasi me binafsi natumia tecno w4 for 5 months now na haijawah nletea shidaah na naipigisha mzgo vzur tu
Sio kila sababu hapo Juu Ni ya tecno smartphone pekee yake... LA hasha, kuna vitu Vingine vinasababishwa na wewe mtumiaji binafsi, na mengine yanasababishwa na apps mnazozidownload Bila kuzijua Kwa kina zaidi...tumia simu yako vzr na kila kitu kitakuwa vile unavotakaSIM ZA TECNO ZINA MATATIZO BALAA
Kama ulishawahi tumia smart za tecno lazima ulishawahi kutana na moja au yote matatizo yafuatayo .na utakuja kugundua utofauti kama nawe kwa sasa unatumia smart ya kampuni jingina
1 kujizima ukiingiza app nyingi kama hakuna memory card ulioweka
2.kupokea sms nyingi wakati ilitumwa moja tu
3.GPS kujiwasha yenyewe.hata uzime vipiii
4.message ku mark kama haijasomwa wakati umesoma
5.lawama kwa watu unaowatumia sms kuwa unatuma sms 1 mara nyingi kumbi 1 moja tuu
6.kuisha sms za kutuma sabab sms zinajituma zenyewe na zina tumia vocha
7.kumaliza betri haraka sabab ya kujiwasha GPS
8.ram speed ndogo sanaaa hadi kupiga inaleta shida ukiwa na app nyingi
9.ukiandika sms ndefu inajibadili kuwa mms
10.kuwa na mwanga hafifu hata uweke full
11.huwezi ku reset factory mpaka ujue kichina reset factory yake imeandikwa kichins
12.baadhi ya app hudai kujaza aina ya sim tecno halitambuliki hizo app utszikosa
13.inachagua bluetooth za kukamata
14.ina support multiple touch 2 tuu
15.kujizima yenyewe ikijaa vitu
16.kutengeneza folder nyingi kwenye memory
17. kufail kwa app muhim kila mara kama launcher
18.kugundua touch mpaka kidole.kibonyer
19.ukiandika sms huku unatumia power bank au charge utajuta ukibonya s mara ilete w fulu kuotea
20.button ya kumpigia mtu mda mwingine ukiminya upige yenyewe.inaanza kusearch contact
21.baadhi ya ussd code ukiziandika zinajifuta zenyewe
22.button za sauti na power kuregea mapema
23.ikianza tatizo moja ukipeleka kwa fundi ujue ikipona lazima urudi na tatizo jingine
23.gravity kuchelewa ku sence hadi mpaka sec2 hadi 5
kama wewe unatatizo mojawapo hapo juu nnaweza kukuelekeza jinsi ya kupunguza maana tecno nmetumia sanaaa
Loop holes lazima zipo tu na hiyo ndio challenge ya technology. Ingia google Search Snapdragon loopholes au Exynos loopholes zipo tu. Japokuwa hapo gsmArena wanasema mediatek wamekiri ni zaidi kwa KitKat inamaana walishafix hilo kwenye lollipop na mashmallow version zijazo. Au kuna official info inayosema mtk wataendelea kuwa na hiyo loophole.mkuu naongea kwa uzoefu sio simu moja wala kumi ni simu kibao nimeshaletewa za design hio,
soc za mediatek zina loop ambayo app inaweza kujipa root acess hata kama hujaroot simu.
natoa ushahidi wa online na mediatek wenyewe wamekiri
MediaTek confirms bug that affects Android devices running its chipsets
japo wamesema ni kitkat tu lakini naweza kuthibitisha hadi lolipop zimeathirika, am not sure kuhusu marshmallow.
pia manufacture wengi wanaotumia mediatek wana pre install malware (malware toka china) na pia update system wanazotumia zinaingiza malware, vyote hivi vina ushahidi kibao.
hio fix inatumwa vipi bila update, mkuu tatizo la virusi ni real, lipo tena kubwa sana humu jukwaani kuna mamia ya thread na nyie mnaotetea tecno zikiandikwa zile thread mnakimbia kama hamuzioni. mtafute mtu yoyote ambaye yupo active atakwambia nilichokuambia mimi ngoja niwatag wachache hapaLoop holes lazima zipo tu na hiyo ndio challenge ya technology. Ingia google Search Snapdragon loopholes au Exynos loopholes zipo tu. Japokuwa hapo gsmArena wanasema mediatek wamekiri ni zaidi kwa KitKat inamaana walishafix hilo kwenye lollipop na mashmallow version zijazo. Au kuna official info inayosema mtk wataendelea kuwa na hiyo loophole.
Tenco ukweli sijawahi kutumia na sizipendagi tu...tumia Samsung hotojutia wallah
Tatizo ujui njama za makampuni ya simu hayo matatizo mengine wanayatengeneza wenyewe ili ununue simu zao mpya na kuzilazimisha za kizamani kuondoka sokoni tupende tusipende hizo njama zipo hata kwenye app wanakuambia app mpya inaitaji simu za kisasa walizo toa ila mara nyingi ni ujanjaujanja wa Ku force biasharahayo mambo ya kina cia hayaepukiki kwa soc zote hapo tunazungumzia sisi kwa sisi, kama hutaki cia utumie feature phone kama nokia tochi, au utumie smartphone kama za sailfish na os nyengine ambazo sio za marekani
simu ya mediatek yenye virusi inaudhi sana, italeta video za porn, itafungua data, itadownload apps na kumaliza bundle, chaji haitakaa etc, hii ndio tunayozungumzia hapa
sasa mkuu simu nimenunua leo kesho ina kirusi ni njama ya kwenda kununua simu nyengine?Tatizo ujui njama za makampuni ya simu hayo matatizo mengine wanayatengeneza wenyewe ili ununue simu zao mpya na kuzilazimisha za kizamani kuondoka sokoni tupende tusipende hizo njama zipo hata kwenye app wanakuambia app mpya inaitaji simu za kisasa walizo toa ila mara nyingi ni ujanjaujanja wa Ku force biashara