Simu hazina tatizo ila uwezo wa kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja ndio haziwezi, ukitaka ufurahie hizi simu ipunguzie mzigo mfano app ambazo tangu ununue simu hujawahi kuzitumia na hauna mpango wa Kuja kuzitumia na Ile milio ya simu ambayo inakuja na simu ni bora kuifuta ukabaki na milio mwili au mitatu tu, au weka stock rom za Sony Ericsson au Samsung ktk tecno yako (sio official )
Tecno, Kwa kweli ni sheeda. Mimi natumia kwa shida tu, sababu najipanga kununua iphone....sasa hivi natumia Tecno F7 yaani inajizima hiyo hatari na imekuwa slow mno..
Simu hazina tatizo ila uwezo wa kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja ndio haziwezi, ukitaka ufurahie hizi simu ipunguzie mzigo mfano app ambazo tangu ununue simu hujawahi kuzitumia na hauna mpango wa Kuja kuzitumia na Ile milio ya simu ambayo inakuja na simu ni bora kuifuta ukabaki na milio mwili au mitatu tu, au weka stock rom za Sony Ericsson au Samsung ktk tecno yako (sio official )
mkuu jaribu kupitia hapo hii nahisi haina tofauti saana na launcherHebu tupe hizo rom za sony au samsung ambazo zinaingia kwenye tecno. Mediatek hawajarelease source code kwa madeveloper, huwezi chukua custom rom ya exynos au snapdragon ukaeka kwenye simu ya mediatek, simu itakufa.
Labda umechanganya launcher na rom
asante mkuuu ni custom rom nimechanganya sukari na chumvi :redface:ni custom rom mkuu
majanga mengine tecno hazina custom rom nyingi na stable
stock rom zake zenyewe kuzipata kazi itaku custom rom kwel.
mkuu sikuwa makini katika ku type, ni custom rom:shock::shock::shock:Hebu tupe hizo rom za sony au samsung ambazo zinaingia kwenye tecno. Mediatek hawajarelease source code kwa madeveloper, huwezi chukua custom rom ya exynos au snapdragon ukaeka kwenye simu ya mediatek, simu itakufa.
Labda umechanganya launcher na rom
mkuu jaribu kupitia hapo hii nahisi haina tofauti saana na launcher
Galaxy S5 Custom Rom Tecno R7 by SkgeeBoss | AndroidVillaz
Mtu anaeenda dukani ananunua Tecno huwa namuona ni km hajaelimika juu ya bidhaa nzuri ya kutumia, Tecno ni cm zilisotengenezwa kwa technology ya chini sana
mi yangu H5 tatizo kuganda. ukifanya kitu inaganda wewww mpk usubiri.
SIM ZA TECNO ZINA MATATIZO BALAA
Kama ulishawahi tumia smart za tecno lazima ulishawahi kutana na moja au yote matatizo yafuatayo .na utakuja kugundua utofauti kama nawe kwa sasa unatumia smart ya kampuni jingina
1 kujizima ukiingiza app nyingi kama hakuna memory card ulioweka
2.kupokea sms nyingi wakati ilitumwa moja tu
3.GPS kujiwasha yenyewe.hata uzime vipiii
4.message ku mark kama haijasomwa wakati umesoma
5.lawama kwa watu unaowatumia sms kuwa unatuma sms 1 mara nyingi kumbi 1 moja tuu
6.kuisha sms za kutuma sabab sms zinajituma zenyewe na zina tumia vocha
7.kumaliza betri haraka sabab ya kujiwasha GPS
8.ram speed ndogo sanaaa hadi kupiga inaleta shida ukiwa na app nyingi
9.ukiandika sms ndefu inajibadili kuwa mms
10.kuwa na mwanga hafifu hata uweke full
11.huwezi ku reset factory mpaka ujue kichina reset factory yake imeandikwa kichins
12.baadhi ya app hudai kujaza aina ya sim tecno halitambuliki hizo app utszikosa
13.inachagua bluetooth za kukamata
14.ina support multiple touch 2 tuu
15.kujizima yenyewe ikijaa vitu
16.kutengeneza folder nyingi kwenye memory
17. kufail kwa app muhim kila mara kama launcher
18.kugundua touch mpaka kidole.kibonyer
19.ukiandika sms huku unatumia power bank au charge utajuta ukibonya s mara ilete w fulu kuotea
20.button ya kumpigia mtu mda mwingine ukiminya upige yenyewe.inaanza kusearch contact
21.baadhi ya ussd code ukiziandika zinajifuta zenyewe
22.button za sauti na power kuregea mapema
23.ikianza tatizo moja ukipeleka kwa fundi ujue ikipona lazima urudi na tatizo jingine
23.gravity kuchelewa ku sence hadi mpaka sec2 hadi 5
kama wewe unatatizo mojawapo hapo juu nnaweza kukuelekeza jinsi ya kupunguza maana tecno nmetumia sanaaa