Tecno Phantom ushauri tafadhali

Tecno Phantom ushauri tafadhali

Utakuwa una matatizo ya macho ,wakati wa mchana nenda Setting -display -brightness then uongeze mpaka mwisho utafurahia sana simu yako

sasa hv duniani kuna simu moja tu ambayo unaweza soma mchana vizuri nayo ni lumia 1520 na sababu ni technolojia mpya inayoitwa assertive display.

si samsung si tecno si kampuni yoyote ya simu inaweza

Nokia-Lumia-1520-assertive-display-tech-shines-vs-iPhone-5-vs-Xperia-Z-Ultra-vs-Note-3.jpg
 
Naitumia phantom A+ kifupi ni simu nzuri sana tatizo majina tu wenzetu mnababaika nayo.camera,internet,game,na program nyungine nyingi kama andropen office yaani kuchapa kazi na kuprint pia ku-convert word kwenda PDF navifanya sihitaji tena laptop.pigeni domo.tecno phantom kabamba.

hapa hujataja sifa ya tecno hata moja umetaja za android tupu
 
wadau naomba mniambie namna ya kuenable 3g kwenye samsung GT I8190 !
 
Kuna simu nyingi pia zina run Android na zipo powa...........
Mkuu mbona unadandia treni kwa mbele? umesoma urgument yangu kwanini A+ si sawa na S4?
Kimsingi nilikuwa nawajibu waliokuwa wanasema Phantom A+ ipo sawa na Samsung S4 kwa kila kitu
Sipo hapa kuibeza Phantom bali ukweli utasemwa.....always urgument yangu ipo kwenye SPECIFICATION za simu kama determination ya kujua ubora wa simu

Phantom ina specification karibu sawa na Sumsung S2 achilia mbali S3 halafu mtu anailinganisha na S4
Najua neno cheapest and low quality linakukwaza lakini ukweli ndio huo Tecno ni bidhaa duni na rahisi, kwakuwa zinarahisisha maisha kwangu mimi ni sawa tu mtu kuzitumia, maana kiukweli zimelenga soko la watu wa hali ya chini kama sisi Africa tuweze kufaidi ulimwengu wa tech

tumekariri kuwa expensive is better..wengi wenu hapa matumizi ya cm ni Facebook,whatsapp, jf,call na kupiga picha....! huo uduni wa techno uko wapi?
 
tumekariri kuwa expensive is better..wengi wenu hapa matumizi ya cm ni Facebook,whatsapp, jf,call na kupiga picha....! huo uduni wa techno uko wapi?

kaka simu bora ni ile ambayo bei na unachopata vinalingana.

sasa unauziwa simu laki 4 na nusu (tecno) wakati kuna simu bora zaidi yake zinauzwa bei rahisi zaidi kama s4 clone (laki 3), xperia m(3 na nusu had 4) je hapo aliokariri kuwa ghali ni bora ni mtu wa tecno au sisi wapimgaji?
 
wadau naomba mniambie namna ya kuenable 3g kwenye samsung GT I8190 !

nenda menu then setting kwenye wireless and network click more halafu nenda mobile network then network mode halafu chagua umnts/wcdma itakaa 3g, ukiona hamna hio option jua hio ya kichina maana s3 mini za kichina zipo nyingi
 
sasa hv duniani kuna simu moja tu ambayo unaweza soma mchana vizuri nayo ni lumia 1520 na sababu ni technolojia mpya inayoitwa assertive display.

si samsung si tecno si kampuni yoyote ya simu inaweza

Nokia-Lumia-1520-assertive-display-tech-shines-vs-iPhone-5-vs-Xperia-Z-Ultra-vs-Note-3.jpg

Atleast phantom yangu inasoma vizuri tu kwenye mwanga mkali. Au labdamacho yangu yana nguvu zaidi!!?
 
Techno iko poa. S4 INA mini cha ziada kwa mtumiaji wa kwwaida?
 
tumekariri kuwa expensive is better..wengi wenu hapa matumizi ya cm ni Facebook,whatsapp, jf,call na kupiga picha....! huo uduni wa techno uko wapi?
Mkuu sipo hapa kuiponda Tecno........hata mimi ninayo.
Unakubaliana na mkuu NYARUGANDO hapo chini?
Kabisa haina tofauti na Galax 4 Mimi naitumia na ndg yangu anayo s4. Tumezicompea kwa kila kitu na ziko droo mkuu!
As far as I know hili ni jukwaa la tech inabidi tujadili mambo kwa uhalisia wake na sio siasa, kukubaliana na mkuu Nyarugando hapo juu kwangu mimi hakuna maana yoyote. Simu hazilinganishwi kwa staili hii mkuu,,,,,,,its all about specifications
Hii itakuwa sawa na kusema Gongo na Johny Walker zipo sawa kwakuwa wote mnalewa
Tecno ni bidhaa duni kwasababu haina utambulisho kimataifa, ni kama kampuni ya mfukoni tu
Haina "TBS" za kimataifa haijasajiliwa kuwa standards na kupata IMEI za kimataifa kwasababu hawajakidhi vigezo na tecknolojia yao asilimia 100 wanacopy lakini wanatengeneza kwa kutumia cheap material
Nenda website zote kubwa kuanzia GSMARENA na zote unazozijua wewe katafute kama utaipata Tecno
Tecno utaikuta kwenye Blog na web site uchwara za Kinaijeria, Ghana, India Kenya na nchi za kichovu kama zetu

Narudia tena kwa hali zetu za kiuchumi Chinese phone ndio mkombozi wetu lakini tusijidanganye eti zipo sawa na..........
Kama unataka chinese phone ya ukweli kwa maana ya specification basi chukua Sumsang S4 clone
 
When one mentions Tecno, what comes to mind is some low end phone from China. With Phantom phones, tech joins the big league.

Halafu nahisi hujui hata hizo cm nyingine hujui kuwa zinabebwa na Android ,soma specification za simu kwanza na uulize waliyozitumia . Mimi nimetumia htc mwaka mzima ila usumbufu nilioupata afadhali ya hii tecno phantom a+. Usiwe na mawazo hasi kisa bei ni ndogo ,ningekuwa na muda ningekupa somo kuhusu bei ya bidhaa kama simu na perceptionism ideology kama zako.
Techno.jpg

Phantom A+ Specs:
Tecno’s Phantom A+ comes with a couple of free accessories. The package comes with a screen protector already installed, a free flip case cover, a 2100 mAh Li-ion battery, white earphones, a travel charger and 2 micro USB data cables, a 2200 mAh battery bank that doubles as a torch, a 13 month warranty and the Phantom user manual.
Phantom A+ has a slim 9.1mm design, a 5.0 HD TFT Display, a 1.2Ghz “Quad Core” processor with 1GB of RAM and 4GB of ROM, GPU embedded and an expandable memory of up to 32GB, an 8 Mega pixel rear Camera with Flash and a 1.2 mega pixel front Camera, GPS, Bluetooth 3.0, an FM Radio, 3G antenna, A gyro sensor, Light and Proximity Sensor, Dual Sim capabilities and 2100mAh Battery. Phantom A+ runs on android 4.2 Jellybean Operating System. This is impressive and certainly makes Phantom A+ join the table of high end smart phones like the Samsung Galaxy S3, Nokia Lumia 820, iPhone 4S, HTCs, LG and Sony.

Apart from the usual applications like Gmail, Youtube, Maps, Browser, Calculator, Calendar, Notes, Video player, Recorder or FM tuner, Phantom A+ comes with more pre-installed apps like Opera Mini, UC browser, Whats app, Flash share, Torch app, OOBE, Quick Start, Calcare, and a host of Games.

Unique Phantom A+ Applications
OOBE App & the Quick Start App: The OOBE app gives you step by step instructions to help one setup the phone when new. This is essential as not all customers are adept when it comes to setting up devices. The Quick Start app takes one through all the basics and offers phone management tips.
The APK assistant: A mini offline app store with free pre-loaded apps that you can install even without a data connection. Having an offline App store is a huge plus as it saves users data costs.
Calcare App: An app that gives up date details of locations and contacts of all Tecno Calcare centres across Uganda and Africa. These are Techno service centers.
phone-1.png

Flash Share: This is a Tecno exclusive app for sharing content between Tecno phones using WI-FI. No data is needed for its operation. With the app one can share folders, documents, MP3 files, videos, pictures and much more.
Asphalt: Good news for gamers. This is a popular game that comes pre-installed.
The slim 9.1mm Phantom A+ smart phone, just like Samsung galaxy S3 and S4, is wrapped in an anti-scratch polycarbonate back, with a look of a metallic finish on the sides. The design features a micro USB charging port and a 3.5mm earphone jack at the top of the device.

Display: 5.0 HD
Phantom has a large 5.0 HD screen. This is great for intensive users for editing documents, web use or watching Movies.
Camera:
Besides other functions, camera capabilities are one of the critical aspects of a smart phone I look into before delving into my wallet. I will pay a little more for a good photo. Just like the latest iPhone S5 or Samsung galaxy S3, Phantom A+ smart phone comes with an 8 Mega pixel camera equipped with a wide array of functions and modes; a standard DSLR camera capable of taking Multi angles, Panorama and HDR shots with a host of controls allowing you to manipulate Exposure, White balance and ISO.

Its camera has Color effects, multiple preset modes for easy photography, Anti Flicker, Continuous shot, Face detection technology, Face Beauty, a self-timer and an inbuilt photo Editor allowing you to retouch and add flair to your photos. The phantom, however, is not equipped with image stabilization capability or anti shake feature. If you can fail a breathalyzer test chances are high that you might not be able to take great stable shots.
The Phantom has an inbuilt 8GB memory expandable to 32GB. It can play multiple media formats like MP3, AAC, MP4 and AVI on top having an FM radio. These options — as opposed to online music streaming services adopted by other smartphone vendors — are more ideal for Africa where bandwidth is limited. Its radio has an inbuilt recorder that can record a radio show playable later.

Battery
One of the most annoying things about smart phones is their terrible battery life. We are forced to walk with bulky chargers in pockets and always on the lookout for power sockets each time we get into restaurant, board room or bar. When Samsung released their Galaxy S4 phones, I raced to an outlet and parted with a handsome amount. It had received great reviews, but the battery was a major put off. Phantom battery, however, is noticeably stronger. At the moment I manage to use my handset for up to 10 hours on 3G and even take longer when not on 3G. The phone comes along with a portable device; “external battery bank” that can be used for charging the phone when the battery dries up. Good innovation.

Mkuu asante sana kwa elimu. Mimi ni mtumiaji wa hii simu. Umetaja baadhi ya features kuwa zinakuja na hii simu lkn mimi sizioni. Nitaku-pm ili unielekeze. Natanguliza shukrani.
 
Mkuu asante sana kwa elimu. Mimi ni mtumiaji wa hii simu. Umetaja baadhi ya features kuwa zinakuja na hii simu lkn mimi sizioni. Nitaku-pm ili unielekeze. Natanguliza shukrani.

Kuna vitu naviona kwenye simu lakini hapa havijaolozeshwa,Mimi nimecompare na galaxy s3 nikagundua Samsung na nokia no vibaka wakubwa.washamba wa majina ya cm wacha waendeleee kupigwa visenti vyao.F7 A+ tuna enjoy kila kitu hapa
 
sasa hv duniani kuna simu moja tu ambayo unaweza soma mchana vizuri nayo ni lumia 1520 na sababu ni technolojia mpya inayoitwa assertive display.

si samsung si tecno si kampuni yoyote ya simu inaweza

Nokia-Lumia-1520-assertive-display-tech-shines-vs-iPhone-5-vs-Xperia-Z-Ultra-vs-Note-3.jpg

Chief ubishi huo mimi nasoma
Msg viziri kwenye mwanga wa jua Kali sana la saa 7 mchana.nimetumia galaxy s2 sijaweza enjoy kama navyo enjoy kwenye hii phantom.mwisho tunasems msifia mvua imemunyea kaka.Samsung yenye screen kubwa au xperia yenye kubwa kama phantom A huwezi pata kwa laki 3.5 mkwawa acha uongo.hiyo pocket yenyewe ni laki 2.5 alafu ni ya kawaida inazidiwa hata na techno M7 inauzwa laki 2.5 kwa kila kitu.ni wizi tu was samsang.poleni
 
Chief ubishi huo mimi nasoma
Msg viziri kwenye mwanga wa jua Kali sana la saa 7 mchana
kaka technology sio mapenzi kuwa unajisifia tuuu halafu hamna kitu. tunaomba hizo picha basiiiii. simu si mnazo easy toka nje hilo jua la saa saba piga picha

nimetumia galaxy s2 sijaweza enjoy kama navyo enjoy kwenye hii phantom.mwisho tunasems msifia mvua imemunyea kaka.
hivi unajua bei ya s2 sasa hivi ni ni rahisi kuliko phantom?

Samsung yenye screen kubwa au xperia yenye kubwa kama phantom A huwezi pata kwa laki 3.5 mkwawa acha uongo.
umeambiwa galaxy s4 clone the way unavyojibu hata huelewi unajibu nini hebu baada ya kukujibu hapa ntakuandikia post nyengine ya specification za galaxy s4 clone uone tecno phantom yako itavyochakazwa. kuhusu xperia ipo xperia m na nimeandika thread nzima kuisifia sasa unaposema nadanganya sijui umefanya research gani kuthibitisha.

hiyo pocket yenyewe ni laki 2.5 alafu ni ya kawaida inazidiwa hata na techno M7 inauzwa laki 2.5 kwa kila kitu.ni wizi tu was samsang.poleni
kuna mtu alienda dukani kununua s2 mwenye duka akamwambia nunua p3 hii ni bora zaidi akamuuzia kwa laki 4 p3. siku zote duniani wajinga hawaishi. kama maduka ya samsung yanauza pocket chini ya laki 2 (mwaka jana ilikua 180, wewe ukinunua 250 hapo umejitakia
 
hebu bwana mangungo nikufanyie brief specs za hizi simu s4 clone na tecno phantom+

1. kioo
zote zina vioo inch5 vyenye resolution ya 1280x720. hapa zimetoka draw

2. battery
phantom battery ni 2100mah na s4 clone ni 2600mah. hapa s4 clone yupo juu

3. internal memory
s4 clone ina 16gb na phantom ina 4gb (2gb unapata). hapa tena s4 ipo juu

4. ram
s4clone ina ram 2gb phantom ina ram 1gb. hapa s4 clone ipo juu.

5. processor
s4 clone ni meadiatek quadcore wakati phantom ni mediatek dualcore hapa tena ni ushindi kwa s4 clone

6. camera
s4 clone camera 12/13mp na ya mbele 2mp wakati tecno ni 8mp na ya mbele ni 1.2mp hapa ni ushindi kwa s4 tena.

7. 3g network
phantom inakamata kwenye 2100mhz tu wakati s4 clone ni 850 na 2100mhz. ushindi kwa s4 clone tena

8. bei za simu
tecno inapatikana kwa laki 4 na nusu wakati s4 clone ni laki 3. hapa s4 clone yupo juu tena.

9. status mtaani
ukiwa na s4 clone unaonekana kama una hela watu wanadhani unamiliki s4 wakati ukiwa na tecno hadi wazee kwenye vibanda vya kahawa wanajua unamiliki simu ya kichina (japo zote mbili ni mchina)

bwana mangungo una la kusema?
 
Chief Mkwawa...inawezekana hiyo S4 unayoisifia ikawa na ubora kuliko Phantom je ikiharibika ina technical supporter kama ilivyo phantom? kuhusu Experia M wapi inauzwa bei ya laki 4 maana nimeona maduka mengi wanauza sio chini ya laki 5.....
 
Chief Mkwawa...inawezekana hiyo S4 unayoisifia ikawa na ubora kuliko Phantom je ikiharibika ina technical supporter kama ilivyo phantom? kuhusu Experia M wapi inauzwa bei ya laki 4 maana nimeona maduka mengi wanauza sio chini ya laki 5.....
kuhusu technical supporter kuna vitu naeza jibu na vyengine siwezi.

zote ni simu za mediatek ina maana ishu za network, radio na vitu vidogo vidogo vinafanana fundi anayeweza tengeneza tecno au kifaa cha tecno kitaingiliana na hii clone.

ambacho siwezi kukujibu ni display ya mbele maana sijajua wanatumia kioo gani ila kuna uwezekano mkubwa vinafanana.

ongea na huyu jamaa babalao 2 kama ataweza kukusaidia kuhusu xperia m
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom