Tecno Phantom ushauri tafadhali

Tecno Phantom ushauri tafadhali

Asante mkuu, kesho tu ngoja nikapate na mie kitu cha Tecno, hizi s4 gharama yake balaa,

Wala usiwaze sana...ni simu nzuri, mimi mwanzo nilinunua kwa laki 450 lakini nadhani kwa sasa zitakuwa zimeshuka kidogo.
 
Mbona kama mwanamama wewe?kwani umesikia sikia kuna mgonjwa?unawashwa wee

Hagahdhaaaaaaaaahaaaaahahaaa,mwanamama kapigwa i phone yake milioni unusu basi anawaonea wiiiiivu wenye simu za bei poa lakini zenye kila kitu
 
Mimi nimeitumia miezi miwili sasa. Iko poa sana. Tatizo moja: nikibonyeza reboot inazima moja kwa moja. Betri nachaji mara mbili kwa masaa 24. Kuna mdau mmoja kasema unasoma screen hata kwenye mwanga mkali, siyo kweli. So far so good for me, except for the reboot problem!!

sett brightnes Auto
 
Nasikia hizi cmu zinatokea Kenya wakala mkuu yupo Kenya, ukienda Kenya unaweza pata chini ya hapo.
 
phantom a+ cha mtoto. sasa nunua f8 haina tofauti na s4. nimeiagiza nairobi kwa elf20000 za kenya
 
Je speed sawa na ubora ni sawa na s4
Mbona kwenye top 60 ya simu nzur na bora namuona huawei kamzid tecno?
 
Useme huwezi kuzifananisha kwa bei lakini kwa function ziko droo. Nina uhakika na ninachokisema mwenye kupinga sponge kwa hoja kwa kuorodhesha function ambazo s4 inazo thidi ya phantom A+
Mmmmh! ngoja ninyamaze nisijetukanwa na kuitwa hater, ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaah!!!!!!!
 
Ni simu poa tu, mi nimeitumia hii simu kama miezi miwili, internet speed ni kubwa pia inajitahidi kukaa na charge.
Ila subiri waje TECNO haters !!

Inakubali android 4.3 au 4.4?
 
Useme huwezi kuzifananisha kwa bei lakini kwa function ziko droo. Nina uhakika na ninachokisema mwenye kupinga sponge kwa hoja kwa kuorodhesha function ambazo s4 inazo thidi ya phantom A+

Mkuu Benzi na Toyota zinaweza kuwa sawa machoni pako kama utachukulia zote zina mataili mmne, pedeli zipo sawa, milango ipo sawa, taa zipo sawa, honi zipo sawa nk, nk.
Ubora wa simu unachangiwa kwa kiasi kikubwa na kitu inaitwa Specification, IKIWEMO
RAM
PROCESSOR
CAMERA NK
Ki uhalisia specification za Phantom A+ ni sawa na specification za Samsung S2
Ni makosa kulinganisha S4 na Phantom A+ kuwa zipo sawa kwa kigezo chako cha function badala ya uwezo wa simu

Kulingana na maisha yetu ya kibongo na vipato vyetu sio mbaya ukinunua simu hii angalau utapata ladha ya Android na haswa kama ni mtumiaji wa simu wa kawaida uta enjoy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom