Tecno Phantom ushauri tafadhali

Tecno Phantom ushauri tafadhali

Ubora was Tecno uko wazi kabisa ndio maana unapewa warranty ya miezi 13. Labda na we we nijuze hiyo gallaxy yako unapewa warrant ya mud a gani!

samsung miezi 24 na kuna simu unapewa accidental damage from handling.

ndio kampuni pekee africa inayotoa hivi vitu.

kwenye hio adh unapewa faida hizi
1. kutengenezewa kioo kilichopasuka mara mbili
2.kutengenezewa simu ilioingia kimiminika (maji) mara mbili
3. kutengenezewa kioo kilichodondoka mara 1 na maji mara 1

hapa hujaongelea suport kaka ukiwa na tatizo samsung kuna jamaa wa customer care unachat nao hapo hapo unapewa solution.

hao tecno hata headquarter yao haijulikani ilipo hawana hata customer care, matatizo yao yanatatuliwa jf.
 
Umeanza vizuri ukaharibu mwishoni. Kama uko serious nitakupa link yao upate kuchati nao roho yako iridhike. Tatizo umeathiliwa na ukolani mambo leo kwa kuona kila anachotengeneza mzungu ni bora.
 
nitajie headquarter yao ilipo, ceo wao, mkuu wa design anaezidesign simu, shareholder na wengineo kuna kavocha hapa ntakupa
 
Ubishani wenu wa hoja kwenye hili jukwaa una mafuta tunanenepa tuu wafuatiliaji wengi..
 
Pole Najua unaumia sana kuna techno wanavyokimbiza
Sasa mtu unataka kioo kiguum kimekua cha gari hicho? Au unataka uikalie kabisa Hiyo sim kam
A Kiti/? Daah
 
Hivi kweli ndg yangu unaweza kuongelea ubora wa simu au PC akaacha kuongelea operating system yake?? Sababu Os ndio ubongo kama ilivyo kwa binadamu. Mfano kama binadamu bongo wake haufanyi kazi vizuri huyo utamwita nani? (Mwehu au kichaa). Sasa wewe mtaalamu wa IT unasema OS is nothing kwa ubora wa cm au PC unanitia shaka kidogo na elimu yako.

Ubora wa device unatokana na Os inayotumia?
Kuna Pc mpya toka kiwandani inauzwa sh 500,000 na na nyingine milioni 2. Na zote zinatumia OS ya windows 8 na zote zina ukubwa sawa na zote zinatoka kiwanda kimoja DELL.
Kuna chinese phone haina jina initwa Android ina run Os kama ya Phantom A+, ukubwa kama wa phantom A+ na inauzwa sh 100,000 lakini phantom A+ inuzwa k4 na ushee

Kama kweli una akili timamu unaweza kuniambia kwanini zote zinatumia OS ya Windows 8 na Androind jelly beans lakini zinatofautiana bei kiasi hicho?

OS sio ubongo wa device mkuu acha kuchanganya madesa, ndio maana narudia tena kusema wengi mnajidanganya kwa kudhania ubora wa chinese phones unatokana na kurun Android........

Ubongo wa device ni
RAM
PROCCESSOR
ROM
CAMERA
AND MATERIALS
Nk Nk
Naacha wadau watuhukumu kwenye hili maana kadri unavyojibu ndivyo unaonyesha ni jinsi gani hujui unachoandika
 
Camera nayo ni sehemu ya ubongo?? Inamaana cim bira kamera haiwezi Fanya kazi? Basi Mimi nakomea hapa hadi nawengine wenye ufahamu zaidi wachangei make itaonekana tunamaslahi binafsi.
 
Ndugu yangu NYARUGANDO nimeifuatilia sana hii nyuzi toka mwanzoni hadi sasa, kimsingi nadhani itakuwa imewapa darasa watu wengi

Wakuu Paul S.S na chief-mkwawa kusema ukweli wametoa hoja zinazo kubalika kitaalamu kuliko hoja zako mkuu
Swala la OS ni jingine na swala la uwezo binafsi wa simu ni jingine
Uwezo binafsi wa simu ni specification zake kama vile RAM, PROCESSOR,MEMORY,CAMERA,KIOO na mengine kama Chief Mkwawa alivyo yaainisha

Sijaona mahali Paul S.S au Chief Mkwawa wanasema Tecno ni simu mbaya kutumia, ubishani umeanza pale mlipoanza kulinganisha tecno na S4 na hata S4 clone kwa kudai zipo sawa kwa kila kitu, na haswa kwasababu zote zinabeba OS moja Android............hili ni kosa kitaalamu
Paul S.S na Chief wamekuja na details za kitaalamu kusapoti hoja zao lakini wewe umebaki na hoja ya Android na bei
Sifa nyingi za tecno unazozitaja wewe ni za OS ya android na si za simu binafsi, mdogo wangu anasimu ya kichina haina hata jina inarun jelly bean lakini RAM 512 amewaka application sijui tatu tu akiongeza zinamgomea maana simu yenyewe haina uwezo binafsi zaidi ya hapo.....hii ndio tofauti ya uwezo wa simu na Os
BTW inaonekana hardware na software hivi vitu vinakuchanganya sana
Ni mtazamo wangu tu
 
samsung miezi 24 na kuna simu unapewa accidental damage from handling.

ndio kampuni pekee africa inayotoa hivi vitu.

kwenye hio adh unapewa faida hizi
1. kutengenezewa kioo kilichopasuka mara mbili
2.kutengenezewa simu ilioingia kimiminika (maji) mara mbili
3. kutengenezewa kioo kilichodondoka mara 1 na maji mara 1

hapa hujaongelea suport kaka ukiwa na tatizo samsung kuna jamaa wa customer care unachat nao hapo hapo unapewa solution.

hao tecno hata headquarter yao haijulikani ilipo hawana hata customer care, matatizo yao yanatatuliwa jf.

Tecno wanayo calcare ambayo unawasiliana na mtoa ushauri popote ulipo kulingana na nchi uliyopo mi nimefanya hivyo,na agent wa tecno kwasasa yupo kariakoo.ikihatibika simu unapeleka unahudumiwa vizuri labda hemu jaribu kwanza kama utakosa huduma
 
Ni ukweli usiopingika Tecno wameliteka soko la simu hapa nchini hadi kwenye simu za kawaida kwa rate yangu kila ukikutana na watu 10 watatu kati ya wanna simu aina ya Tecno , kinachowaweka kwenye masoko no ubora was bidhaa zao hasa upande wa betri zinazoaminika kuwa na ubora kuliko hata za Nokia ......kingine ni kituo chao cha Carl Care service kinachohudumia wateja bila ya usumbufu sasa tuende wapi zaidi ya kununua Tecno ?
 
wadau ningependa kujua zaidi kwa mwenye uelewa wa hii simu ya kichina ya tecno phantom A+, hasa kwa ambaye keshaitumia niweze kujua ubora wake.

Mimi nimeitumia toka januari mwaka huu. Haina tofauti na Samsung S4. Durable. Kwa toleo hili Tecno big up!
 
Tecno wanayo calcare ambayo unawasiliana na mtoa ushauri popote ulipo kulingana na nchi uliyopo mi nimefanya hivyo,na agent wa tecno kwasasa yupo kariakoo.ikihatibika simu unapeleka unahudumiwa vizuri labda hemu jaribu kwanza kama utakosa huduma

Dodoma pia kuna carlcare!
 
Ni ukweli usiopingika Tecno wameliteka soko la simu hapa nchini hadi kwenye simu za kawaida kwa rate yangu kila ukikutana na watu 10 watatu kati ya wanna simu aina ya Tecno , kinachowaweka kwenye masoko no ubora was bidhaa zao hasa upande wa betri zinazoaminika kuwa na ubora kuliko hata za Nokia ......kingine ni kituo chao cha Carl Care service kinachohudumia wateja bila ya usumbufu sasa tuende wapi zaidi ya kununua Tecno ?

tecno anatengeneza battery au anachkua za nokia anaeka label yake?
 
Tecno wanayo calcare ambayo unawasiliana na mtoa ushauri popote ulipo kulingana na nchi uliyopo mi nimefanya hivyo,na agent wa tecno kwasasa yupo kariakoo.ikihatibika simu unapeleka unahudumiwa vizuri labda hemu jaribu kwanza kama utakosa huduma

huyo ni customer care wa mawakala kama vile nokia na midcom ila sio wa tecno.

kama huamini muulize kaswali kagumu gumu uone atakavyohaha au nipe contact ya kuchat nirudishe feedback ya snapshots.
 
Chief sikuwezi aha aha aha ahaaaaaaaa!! Ila tuhitimishe tu mjadala kwamba Samsung wanabaki kuwazidi techno kwa grade za material wanayotumia kutengeneza baadhi ya simu zake japo sio zote,na tecno nae ana grade za material na spec alizoamua kutumia kulingana na soko lake,la Africa na Asia na baadhi ya nchi za Latin america ambako hizi zote ni L.D.C zote na ndio maana kuna mahali umelala kuwa kwanini hauzi ulaya jibu ni kwamba kaamua kuteka soko ya mbele hayo hatabiriki maana tecno ni brand kubwa sasa kwa sasa kwenye hizo nchi.kwa mtu mwenye matumizi ya kawaida tecno phantom ni nzuri sioni tofauti ya matumizi kwa waswahili wanaomiliki Samsung na tecno f7 ukitoa baadhi ya mbwembwe za Samsung kama vile saa,utofauti wa spec na bei.ila wote wale wale tu.kasoro siku za kuzaliwa Samsung ni kampuni kubwa na imekuwepo miaka mingi tofauti na tecno ambaye ana miaka michache lakini anafanya vizuri.ngoja tuone mbele ya safari itakuwaje.HAYA KANAWENI MIGUU MLALE NA HUU MJADALA UMEFUNGWA RASMI......UKIBISHA UTAPIGWA TU.
 
Nimeufautilia huu uzi toka mwanzo nimegundua kuna watalaam wa simu na mashabiki wa simu.

Watu kulingana na ushabiki wao wanabisha hata sababu za kitaalam.

Lazima tukubali kila kitu kina gred yake....... tukubali tecno anakilakitu ambacho nokia na wengineo wanavyo lakini swali ni je ubora vinafanana.?

jinsi zote zinakua na saizi sawa rangi sawa kitambaa kilekile, lakini kwa nini inakuepo ya 5000,10000 na hata laki au laki mbili.?

sawa tecno anatusaidia wengi lakini hakidhi viwango vinavyokubalika na watalaam wa simu.

ni mtazamo tu wakuu.!!
 
mkuu ufafanuzi tafadhali. inakuaje battery ya nokia iandikwe tecno?

labolatory kubwa ya nokia ipo china. refer post ya juu jamaa wanavyoweza kupata material na mabaki.

na kama utachunguza battery za tecno zinakaa sana ila life span ndogo. na sio tecno tu hata itel nao wana battery kama za nokia na tecno.

unafkiri ni coincidence battery za nokia hazifanani na apple hazifanani na samsung na pia hazifanani na lg, sony na htc ila battery za nokia zafanana na tecno na itel?
 
HAYA KANAWENI MIGUU MLALE NA HUU MJADALA UMEFUNGWA RASMI......UKIBISHA UTAPIGWA TU.[/QUOTE]

sawa kabsa, nadhani mjadala umekamilishwa hivi
1. samsung huwezi ifananisha na tecno
2. kununua tecno phantom kwa laki nne na nusu ni kuibiwa, ni heri kununua galaxy s4 clone kwa laki 2-3
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom