Tecno Mobile ndani ya GSM Arena

[emoji23][emoji23]

Kuna ukweli
 
Full burudani mkuu

Chaji inakaa muda mrefu

Screen pana

Simu nyepesi inafanya kazi kwa ubora

Imeshawahi anguka kama Mara NNE hivi lakini kitu chuma chumaa
Alaf hawa wenye vi iphone vya kurefubrish wanatusumbua na mipower bank
 
Sahihi mkuu mi mwenyewe baada ya kuyumba kiuchumi ndio nkachukua hii spark 2
 
Hivi huu uzi hata sisi wenye iphone tunaweza kuchangia kwa kuchanganyika na wenye vitechno, tusumsung na vi itel.? Tusijekwaza watu bure....
 
Hivi huu uzi hata sisi wenye iphone tunaweza kuchangia kwa kuchanganyika na wenye vitechno, tusumsung na vi itel.? Tusijekwaza watu bure....
Message/post zenu huwa zinajitenga. We changia tu usiwe na hofu
 
natoka nje ya mada. nimependa hili toleo jipya la sasa camon 11 ila natamani kujua 11 pro inaweza kwenda kwa bei gani anayejua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…