Vicent daudi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2012
- 354
- 80
Xiaom ndio mpango hamtojutia
Simu mbaya unanunua bei kubwa halafu baadae inaanza Android is startingHizo simu hazina ubaya huo mnaoutangaza, sema tu ni kuwa u mshamba wa simu na changamoto ndogo kama virus zinakupiga chenga. Kwa urahisi tu ifanyie factory reset hio simu kisha weka kaspersky antivirus ili isijirudie hio shida.
Umetumia xiaom wewekuhusu chaji sijaona simu ya kumkaribia Tecno
Unganisha na ndugu yake infinix, kampuni moja Majina tofauti tecno itel infinix oraimo +hakuna simu mbaya kama TECNO & ITEL
Ndio huyo huyo tecnoInfinix je?
Hahah watu wanahisigi infinix ni O.G brand kumbe???Unganisha na ndugu yake infinix, kampuni moja Majina tofauti tecno itel infinix oraimo +
Kinachoniboa kwa tecno ni GUI yao ya hios tu. Otherwise wako poa tu.Simu mbaya unanunua bei kubwa halafu baadae inaanza Android is starting
Bei yake mkuuNunua samsung s8 hutajuta kamwe
1,600,000/=...Bei yake mkuu
Wajinga ndio waliwalo Kwanini Samsung au Apple au Huawei wasiwe na majina tofauti?Hahah watu wanahisigi infinix ni O.G brand kumbe???
Yeah wako vizuri ila hawamfikii myama huaweiShida ya Xiaomi upatikanaji wake ni mgumu,Ila Kama wakija Bongo haki ya Mungu Tecno mbona atafungasha virago.
Sema sijawahi tumia hizo Xiaomi nasikia tu watu wakizisifia,Ila ntajitahidi niagize hata moja nizijaribu sababu nasikia kwenye battery ziko vizuri