Tecno k7 spark ni mbaya

Hizo simu hazina ubaya huo mnaoutangaza, sema tu ni kuwa u mshamba wa simu na changamoto ndogo kama virus zinakupiga chenga. Kwa urahisi tu ifanyie factory reset hio simu kisha weka kaspersky antivirus ili isijirudie hio shida.
Simu mbaya unanunua bei kubwa halafu baadae inaanza Android is starting
 
Kila simu inachangamoto zake vitu vingine ni vidogo tu sema mtu anashindwa kugundua na kulalamika inaweza kuwa Samsung pia ikazingua kumbe ni swala la setting tu na kujua uwezo wa simu yako na jinsi ya kutumia otherwise kila simu inachangamoto zake
 
Mwongo we jamaa ! Au ndo unaanza kutumia smart for first time? Kwanza hueleweki ni mbaya kwa vipi ? Taja huo ubaya. Mie nnatumia tangu September last year na iko poa tena inakaa na charge balaaa
Inastack hatar fb inajistop kila mda
 
Jaribu ku update your HiOS inaweza saidia yangu pia ilianza kunizingua lkn baada ya ku I update naona iko poa.
 
kwaiyo mmeamua kunisema mana ndio kwanza ina siku ya tatu mikonon mwangu
 
Lugha ni chanzo cha kuharibika vifaa vya elektroniki, unakuta mtu kila kinachomjia ni "yes" au √ tu! baadae anaingia barabarani na kuililia spark. Mambo mengine ni setting tu, (betri yao iko poa mno! mnyonge mnyongeni)
 
TECNO SIO MZUR KIIVO TUSIDANGANYANE hasa baada ya kushaitumia kwa kipindi Fulani.

Mimi mwenyewe ni muuzaji wa simu hizo lakni siziwezi nabakia kwenye samsung tu.
 
Tecno zinastack sana.. RAM zao ni feki sio durable.. waulize wenye tecno zinavostack utatamani utupe uko baada ya miezi kadhaa baada ya kununua.. labda maphamtom ayo kdogo ila cjui P nan, uwiii
 
Back
Top Bottom