runtown
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 844
- 1,169
Habar za mida hi wana jamvi. Naandika uzi huu nikiwa na hasira sana hizi tecno k7 ni mbovu na ni moja kati ya product mbovu zilizowahi kuingia hapa nchini yani nimeitumia miezi mitano sasa hiv majanga matupu kila nikigusa Whatsapp haifai najuta sana kununua hi product
Last edited: