Tecno k7 spark ni mbaya

Tecno k7 spark ni mbaya

Shida ya Xiaomi upatikanaji wake ni mgumu,Ila Kama wakija Bongo haki ya Mungu Tecno mbona atafungasha virago.

Sema sijawahi tumia hizo Xiaomi nasikia tu watu wakizisifia,Ila ntajitahidi niagize hata moja nizijaribu sababu nasikia kwenye battery ziko vizuri

Xiaomi zinapatikana kiurahisi kabisa mkuu. Ingia Aliexpress.com search product unataka then lipia kwa visa au mastercard
Mzigo utatumwa kwa anuani yako na u can track it online kujua package imefikia wapi. On top of that, unapata na guarantee ya kurudishiwa hela incase package isikufikie. Nimeanza kununua products online tangu 2008 na sijawahi ibiwa.
Tatizo kubwa ni mwamko mdogo wa ndugu zangu waTZ kununua vitu online kwa hofu ya kuibiwa. Ndugu yangu Mwl.RCT anaweza kukusaidia kununua chochote mtandaoni kama huwezi fanya mwenyewe.
 
Njooni Samsung hutojutia hata kidogo ☻mimi huwa situmii sana mtandao lakini toka jana simu niliijaza full mpaka sasa ina asilimia 59% , Huwezi jutia kumiliki Samsung [R]Naipenda sana simu yangu wala.sichoki kuitumia ..
kuhusu chaji sijaona simu ya kumkaribia Tecno
 
NimekuPM Mkuu
 
Simu yoyote ni jinsi unavyitumiaaa hata iphone ukiijaza makorokoro nayo huwa ina goma jaribu kupunguza ma app uone kama haitakuwa kawaidaa
 
Hii ndio ile ililetewa uzi wa kuifananisha na iPhone 7 humu ndani?
 
Njooni Samsung hutojutia hata kidogo ☻mimi huwa situmii sana mtandao lakini toka jana simu niliijaza full mpaka sasa ina asilimia 59% , Huwezi jutia kumiliki Samsung [R]Naipenda sana simu yangu wala.sichoki kuitumia ..
Niaina gani Samsung yako mkuu
 
Xiaomi zinapatikana kiurahisi kabisa mkuu. Ingia Aliexpress.com search product unataka then lipia kwa visa au mastercard
Mzigo utatumwa kwa anuani yako na u can track it online kujua package imefikia wapi. On top of that, unapata na guarantee ya kurudishiwa hela incase package isikufikie. Nimeanza kununua products online tangu 2008 na sijawahi ibiwa.
Tatizo kubwa ni mwamko mdogo wa ndugu zangu waTZ kununua vitu online kwa hofu ya kuibiwa. Ndugu yangu Mwl.RCT anaweza kukusaidia kununua chochote mtandaoni kama huwezi fanya mwenyewe.
Hebu nisaidie napenda kununua online tatizo uwoga
 
kuhusu chaji sijaona simu ya kumkaribia Tecno
Simu sio charge mzee. Mnakosea sana

Tatizo letu watz matumizi ya simu ni whatsap na insta. Ndio maana suala la chaji tunalizingatia.

Kwa mtu mwenye matumizi hasa ya simu, hawezi nunua tekno maana uwezo wa kufanya kazi ni mdogo

Mbali na yote, ni wapi unapoishi pasipokua na umeme kiasi cha kuogopa kununua samsung ya kuchaji mara mbili kwa siku na ukafanya mambo yako bila chenga?

Kusema kweli huwa sishtuki kuona mtu ana tecno hata ingekua na sura nzuri vipi. Maana matatizo yake yanafanana
 
Mwongo we jamaa ! Au ndo unaanza kutumia smart for first time? Kwanza hueleweki ni mbaya kwa vipi ? Taja huo ubaya. Mie nnatumia tangu September last year na iko poa tena inakaa na charge balaaa
 
Back
Top Bottom