Tecno k7 spark ni mbaya

Tecno k7 spark ni mbaya

Njooni Samsung hutojutia hata kidogo ☻mimi huwa situmii sana mtandao lakini toka jana simu niliijaza full mpaka sasa ina asilimia 59% , Huwezi jutia kumiliki Samsung [R]Naipenda sana simu yangu wala.sichoki kuitumia ..
samsung inategemea ukipata ya kichina byproduct nayo hovyo tuuu
 
Yeah wako vizuri ila hawamfikii myama huawei
Mwenye chake Mpe natumia xiaom ambayo ipo no 5 duniani simu safi kabisa ina mwaka ninayo, Huawei ni Nzuri pia ndio maana ipo no 3 chini ya Samsung na Apple, sasa huyu tecno hata no 20 tu hayupo
 
Kila mtu na mtazamo wake plus utundu wake ktk kutumia simu, binafsi napenda sana tecno products had sasa natumia tecno w4 mwaka wa 3 sasa sijawah sumbuliwa hata kidogo, by the way hakuna company inatoa simu zinauwezo wa kutunza chaj kama tecno..
 
Njooni Samsung hutojutia hata kidogo ☻mimi huwa situmii sana mtandao lakini toka jana simu niliijaza full mpaka sasa ina asilimia 59% , Huwezi jutia kumiliki Samsung [R]Naipenda sana simu yangu wala.sichoki kuitumia ..
Samsung ikianza kuchoka inabidi utembee na chaja kila unapoenda,kwa siku unaichaji hata mara tatu[emoji1] [emoji1]
 
wadau hizi Tecno k7 sehemu ya kuweka silence kwenye sauti iko sehemu gani!
 
Campus direction app hazifanyi kazi kwenye hizi simu, kuna ufumbuzi wowote.
 
Hizo simu hazina ubaya huo mnaoutangaza, sema tu ni kuwa u mshamba wa simu na changamoto ndogo kama virus zinakupiga chenga. Kwa urahisi tu ifanyie factory reset hio simu kisha weka kaspersky antivirus ili isijirudie hio shida.

Tafadhali naomba umuelekeze namna ya kufanya hiyo factory reset ili na yeye asipate shida na simu yake
 
Jaribu ku update your HiOS inaweza saidia yangu pia ilianza kunizingua lkn baada ya ku I update naona iko poa.
Mkuu msaada jinsi ya ku'update maana na nasumbuliwa na stucks kwenye k7
 
Back
Top Bottom