#TeamBazazi at WORK: Haolewi mtu hapa!

#TeamBazazi at WORK: Haolewi mtu hapa!

wewe Erickb52 una majanga kwa mkeo usitake kuyahamisha huko.. Chocs ameshalalamika kwamba husomeki wala kupichaika..
Hahahaaaa
nilimuacha kwanza apate wakati wa kunimiss...kuanzia leo naanza kusomeka tena maana naona kama namuumiza tu mke wangu kipenzi.
BTW Mimi na Chocs ni ngumu sana kuachana au kuumizana...kwetu kila siku ni 'Valentina'
 
Last edited by a moderator:
Asante mungu kwakuniepusha na hikikombe cha mashetani wekundu wa #TeamBazazi wewe Zinduna jana nilikuwa jenji ningejya ningekusubiria unajua!
 
Last edited by a moderator:
Babu yangu mpendwa Asprin mwenyekiti wa kamati ya ufundi ya #TeamBazazi samahani sijakuaga, niliondoka jana kurejea visiwani, nawashukuru sana wewe na Mzee Mtambuzi kwa mapokezi yenu mazuri nilipokuwa Dar. Mwenye enzi Mungu akipenda tutaonana mwezi wa July kwenye Sabasaba.
Next time ukija, ujiandae kuondoka na mimba kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom