#TeamBazazi at WORK: Haolewi mtu hapa!

#TeamBazazi at WORK: Haolewi mtu hapa!

athanteeeee kaka eriki!!!

nikila huku nalia...........ntakula na machozi na kamasi bureee.........kisa ninini haswa?
Hihihihiiiiiii......!
Dada Paloma bhana lol

BTW Habari za siku nyingi aisee
 
Last edited by a moderator:
Kwa..........Maana hiyooooo....... sosoliso naye mwanachama mpya??ehe eti chairman Mentor au nimuulize mweka hazina Nicas Mtei kama ameishapokea mchango wake

Kama mnatengeneza kundi la kwaya mie nitakuwa mwenyekiti.. Ila kama hii inawafaa nyie mie nina heshima zangu.. nina mke Paloma na watoto mapacha watarajaji..
 
Last edited by a moderator:
Kama mnatengeneza kundi la kwaya mie nitakuwa mwenyekiti.. Ila kama hii inawafaa nyie mie nina heshima zangu.. nina mke Paloma na watoto mapacha watarajaji..
Huyo mke basi unamda mrefu hamjawasiliana maana yeye kapendekeza baada yakuona mwenendo wako hauendani na aiba ya mtoto Paloma!
 
Last edited by a moderator:
1545446_UKWU_jpg50fb4390de9a18fca0437c2b84fdb610



#TeamBazazi tuko wangapi?

CC: KakaKiiza, Mentor, Asprin, Jiwe Linaloishi, Mwita Maranya, mayenga, Kaizer, Ruttashobolwa, mwekundu, Eiyer

inamaana woote uliwamention ni wanawake wenzako... hadi uombe sapoti nao ya kutoolewa!!!???
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom