#TeamBazazi at WORK: Haolewi mtu hapa!

#TeamBazazi at WORK: Haolewi mtu hapa!

Umbea hauna jinsia sema tumezoea kuuita majungu kwa wanaume so wewe unanifanyia majungu ili umchukue Chocs wangu.....Na ole wako aniache...nahamia kwa Paloma fuluuuuuuu Hiihihihihihihihihi

Wapi mamaaaa Paloma aaaaaaaaa???


Hivi kuna nini kinaendelea?
Mbona unasarandia wake za watu?!...ujue unanikosea heshima Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Hivi kuna nini kinaendelea?
Mbona unasarandia wake za watu?!...ujue unanikosea heshima Erickb52

Umemuacha loose sana huyu ericB52 shem.. Unaona anakupanda kichwani.. Kama vpi mtafute Paloma akupe siri jinsi ya kuwakamata wanaume wakware.. Wewe si unaona mie nilivyotaitiwa lol..
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa
nilimuacha kwanza apate wakati wa kunimiss...kuanzia leo naanza kusomeka tena maana naona kama namuumiza tu mke wangu kipenzi.
BTW Mimi na Chocs ni ngumu sana kuachana au kuumizana...kwetu kila siku ni 'Valentina'


Tangu nikufungulie...mmmh ni majanga bby wangu...naletewa kesi kila leo...kuna nini?!
 
Tangu nikufungulie...mmmh ni majanga bby wangu...naletewa kesi kila leo...kuna nini?!
Yan hata mi nashangaa sana..tangu unifungulie imenisimama hata hailali....lol
Sijui dawa yake unipe nitembee nayo wakati wote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom