Team single vs Team Dabo!

Team single vs Team Dabo!

Papaa Azonto

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
319
Reaction score
277
Habar wakuu

Haha kwa hali hii ya hewa ya jiji la Dar? Single boys au girls kama Makimuga, najua ni shidaaa, coz wale dabo wanataman hata mvua ipige siku nzima ili waendelee kukumbatian coz hakuna JOTO!

Naoa kwa Mda,
 
Si kweli


||"You were too young to understand"||
 
Hayo mambo hayanaga hali ya Hewaa popote muda wowotee mnarahatupuka tu
 
Nenda kazini uchumi mbovu wewe unawaza kutiana tuuuu
Mapenz hayana majira wala saa wala eneo husika...
 
Labda kama hao madabo hawana kazi za kufanya...ndo mtafungiana.kuku wenyewe tu wanapeana break sembuse binadam.
 
Back
Top Bottom