Team nzima ya CHADEMA ndani ya Kahama leo mapokezi ya James Lembeli

Lembeli aangalie sana maana kinua mgongo chake chote kitaishia kwenye boda boda. Ni ushauri wa bure hasije akawa Mpendazoe wa pili, ameshaweuka kwa madeni
 
Mbona pikipiki zaidi ya mia zilitoka Mbeya hadi Dodoma hakuhangaika nazo,aulizwe alikuwa nje ya nchi huyu mleta mada?
 
lembeli amwaga machozi hadharani kwafuraha,anasema katika historia ya mji wa kahama haijawahi kutokea umati kama wa leo
 
polis wakiwa video kamera zao leo wamegeuka waandishi wa habari baada ya kusindikiza msafala wa lembeli huku wanarekodi video ya msafara huo,ama kwa hakika leo mkoa wa shinyanga uliwaka moto
 
staili aliotumia wenje kuuliza wananch wanamtaka nani imenikosha sana.
mpaka sasa lembeli ndo mbunge wakahama yeye mwenyew haja amin mpaka kavua shati hadharan
 
hakuna anayeiondoa CCM madarakani, CCM imejiondoa yenyewe rasmi

Watanzania wenzangu

Sote ni mashahidi wa wazi kwenye zoezi ambalo CCM wamelifanya kumsaka mgombea wake kwenye mnyukano wa Urais. kwa wazi wazi CCM wameonyesha ukomavu wa hujuma, Ubabe na uchakachuaji uliopitiliza kwenye zoezi hilo. Mbaya zaidi ni pale walipo zikanyagia mbali sheria na kanuni zao wenyewe za kumpata mgombea wa kinyang'anyiro hicho.

taasisi Yoyote, kikundi Chochote au jamii ya watu wa aina yoyote ambao kwa makusudi wamezikiuka taratibu zao wenyewe za kiuongozi walizo jiwekea, Automatic wanakuwa wamesha vunja muungano wao. CCM haiwezi, nasema tena, CCM haiwezi kuimarika tena na sisemi wataanguka bali tayari wamekwisha jiangusha wenyewe. hakuna mchawi wa kumsaka wala mbaya, mtatuumiza watanzania Bure tu wakati mmejidondosha wenyewe.

Ukichimba sana Uongozi, Asili ya Uongozi kwa wanajimu wa Elimu ya viume wenye nguvu, tunajikumbusha kwamba Uongozi una asili ya ulimwengu flani ambao hatuwezi kuuona kwa macho. vile binaadamu wanavyo weka makazi yao kwenye sayari hii lazima wajiwekee misingi na taratibu zao za maisha. na misingi ile whether verbal au written husajiliwa kwenye masijala ya viumbe wale wa ulimwengu tusio weza kuuona. Na viumbe wale huteuana kila kimoja kulinda kuta za taratibu hizo daima. na kama unit za watu hao, wataamua kwa sauti ya pamoja kubadilisha taratibu zao kwa sauti ya pamoja basi viumbe wale hujipanga kwa taratibu ya sauti za makubaliano yao. lakini inapotokea kampuni, au taasisi, au kikundi cha watu, kwa shinikizo au ubabe au matakwa ya wachache kwenye umoja wao, wakachakachua taratibu, basi viumbe wale huziachia kuta za taratibu zao na lazima Mpasuko utokee. Hii ni kweli, kupingana na kweli hii ni sawa na kuzuia Upepo kwa kiganja.

hata kwenye kampuni, ukiweka taratibu za kampuni na ukazifuata lazima utoke. ila ukizichakachua bila utaratibu maalum kampuni lazima Ife. niongelee pote sio positive features peke yake hata negative features. if those negetive featuer are well defined and aproved in that socient then the said ideal societh shall stand. mfano kama bodi ya wakurugenzi wa kampuni, wakakubaliana mambo ,mengi ya msingi na hovyo, mfano kwamba mbali na shughuli za utendaji lakini lazima mtu atayekuwa mkurugenzi mkuu atembee kimapenzi na secretary wake au mhudumu, na mkapitisha hivyo kwa makubaliano ya pamoja, na akatokea mkurugenzi ambaye atakataa kutekeleza mashart hayo basi kampuni lazima Life. ndio maana nikasema both negative and positive features should be well agreed. lakini kama features hizo hazija ainishwa,kukubalika na kupitishwa, ikatokea bosi mkubwa kwenye kampuni hilo, akatembea na secretery wake au mhudumu au kufanya kitendo chochote ambacho hakija ainishwa kwenye kanuni zao lazima kampuni Life.

na Endapo Taasisi, au kampuni au umoja wowote uliochakachua kanuni zake, utajitahidi kutumia maguvu yao kuendelea kuservive, umwagikaji wa damu hauwezi zuilika, na umwagaji wa damu wa aina hii sio kwa adui bali kwao wenyewe ndani kwa ndani, lazima watoane kafara kipindi chote cha uongozi wao. Kafara zenyewe hasa ni kwa watoto wa viongozi wenyewe sio raia. CCM imeshaingia kwenye Collapsing truth Circle. No way itashinda unless wametoana kafara. Not only kwenye Uchaguzi bali kipindi chote cha utawala wa Chakachuzi. ukisoma vitabu vingi vya historia na dini utaona kwenye chakachuzi viongozi wa kifalme walitoa kafara za watoto wao, wake zao, au kukata viungo 'muhimu" vya miili yao (kama vile sehemu zao za siri au macho)ili kuimarisha tawala zao. siri hii wasomi we elimu za viumbe, maumbo na herufi, wataalam wa nyota na mawingu wanaijua sana. ndio maana viongozi wanapokwenda kwa mafundi ili kutaka uongozi wengi huishia kufiwa ghafla na watoto wao au wake zao, na zoezi hilo huwa endelevu.

mfano mdogo ni hii Katiba Mpya. Nilisema mwanzoni kama Viongozi kwenye Constitutional Circle, wangeijua principle hii leo Taifa lisinge poteza mamilioni ya shilindi kulazimisha mambo ambayo walishayavunja wenyewe. Tume ya Warioba ilifanya yake, ikakushanya maoni, na kutengeneza rasimu ya katiba. kikao Cha Bunge kikayavunjilia mbali yale yaliyoainishwa na Tume,(Kama kikao cha Bunge, kiliona kuna mapungufu kwenye rasimu ile, na kwamba kuna ukiukwaji wa kisheria, kanuni na taratibu ambazo tume ile ilifanya, basi shart kwanza wangeainisha mapungufu hayo, na kumrudishia mwenye dhamana na Tume kwa hatua zaidi, Mwenye dhamana na Tume anaweza kuitaka tume kuunda rasimu yao kwa mujibu wa maelekezo ya kuundwa kwake kama ikionekana hivyo, lakini kama ikiwepo jinai basi mwenye dhamana anaweza kuiburusha tume kwenye mtafsiri wa sheria [mahakama] kwa kosa hilo, na ikibainika jinai imo, basi Tume Inavunjwa baaada ya adhabu kuchukuliwa na kusukwa upya) si bora katiba bali katiba bora, katiba itayo peleka taifa miaka zaidi ya mia haiwezi kutengenezwa kwa kipindi kifupi kwenye presha na mihemko mingi ya kisiasa, hatuna hakika na mambo ya CCM!!CCM!!au Chadema!!Chadema, Cuf!! Cuf!! kuendelea kutamkwa miaka 100 ijayo. Ni upofu kuunda katiba tukikodolea uchaguzi wa ndani ya miaka mitano au kumi, it is insanity!! kosa la kwanza, lakini pia la pili kikao Kikalazimisha kuendelea na mchakato huku sehemu ya wajumbe wakiwa kwenye SUSO la mjadala. bunge lao, Chama Chao, serikali yao na kila kitu mezani wakaachiwa lakini KIKABUMA. Ni kwa sababu tayari kuta za makubaliano kwenye ulimwengu wenye power zilisha achia, hata mkukuruke kiasi gani ngumu kufanikisha unless mtoane kafara nyie kwa nyie.

Samahani labda niongee na wajinga flani wachache ambao najua uzi huu wanauelewa na wanausoma, walibugi sana stepu, mlikosea sana, mwanzoni mwa mwaka mlirundika kafara nyingi kwa ajali, kafara za uchaguzi kwa kiongozi wenu mliyemtaka. mlimwaga kweli damu za watanzania maskini ili kufanikisha zoezi lenu, lakini vipi!! mbona mlichemsha kumpitisha jamaa, kazi yoote mliyofanya ZERO!! mmetoa kafara za Maelfu ya watanzania Bure kabisa. mnajua mlikosea wapi?, mlibugi step, aliye waelekeza hana ufahamu juu ya hili, kafara yenu ingekuwa material kama yeye mtia nie angetoa kafara za watoto wake mwenyewe kwenye familia yake sio watu baki. sasa hizo damu za watanzania zinawaibukieni, hakuna jinsi, kuna watu watakuwa vichaa na hakuna wa kusaidia kwenye hilo ndani ya kambi yenu.

maneno yetu mnayadharau lakini ni fact, ni kweli kitengo chenu lazima pia kujizatiti kwenye ufundi huu wa imani. lakini nyie mnakosea, mnatumia sana imani CHAFU , iko imani SAFI ambayo haicost nyie kutoa kafara chafu nyingi. mmemisslead kiongozi wa nchi, Mmemislead Chama kilichopo madarakani, mmejifurukutisha kuweka chaguo lenu limegoma mmechomekeza tu kilichopatikana, na bado mnawaza kufurukuta kupeleka mbele mlicho kipata ambacho hamna uhakika nacho, mnawaza mmeweka cha mzee upara, mnajuuta, mmesambaratika vibaya, mmesalitiana sana. rafiki yangu ngojea nikwambie, umemwaibisha sana mkuu. umemfanya achukiwe na wananchi wote. sasa hawa vijana wetu wazuri chipukizi, ungewatumia kwenye kuimarisha Usalama wa nchi, wewe Umewaleta mitandaoni kupika propaganda, maskini hawa propaganda zenyewe ni kama kampeni tu. unadhani Utafaulu. Umeshawamislead CCM, wamesha anguka. NO WAY!!.

Ushauri wangu ni Huu, kichwa kisikuume saana kuwaza hira kila siku ufanyeje. Achana na wana siasa, Toa mkono wako humo. Jikite kwenye lengo na Msingi wa uundwaji wa Kitengo chako. Angalia usalama wa Taifa hili at length. Achana na siasa. wewe unatakiwa uvilee vyama Vyote equally, unatakiwa uangalie usalama pande zote sio kuwa biasis this way. waachie jukwaa wanasiasa wenyewe waparangane. usitengeneze skendo zaidi ambazo zitazidi kumchafua mkuu mbele ya wananchi wake ambao awali walimpenda sana. Mkuu ni mpole, hapendi kuua watu, ana huruma, wananchi awali walimpenda sana, ila as days goes mkono wako umefanya watu wote wamwone mbaya sana. na unavyozidi kuchachawa ndio unaharibu zaidi ya kutengeneza. i am sorry brother sina namna nyingine ya kukushauri zaidi ya hii. siasa waachie wanasiasa. i bet before you hata Ufanyeje NO WAY CCM ikarudi madarakani, NO! WAY!!.

CCM Imeshaanguka, sio Kosa lako, Ni Ujinga wao kusikiliza na kufuata ushauri wako, Je nani Mpuuzi, aliye shauri Vibaya au aliye shauriwa vibaya?. CCM ina Taratibu zake, imezikiuka yenyewe, ama imezikiuka kwa kushauriwa na wewe au yenyewe hilo ni lao, kilichoshuhudiwa ni Ukiukwaji wa taratibu zao ulio pelekea misingi ya sauti za kuta zao kuharibika, huna kosa brother, wajinga ni wao waliokubali kuingizwa mkenge. you have clean hand. wanasema ukishauriwa changanya na akili zako, we mtu anakushauri mwache mkeo usiku kucha kwa 'fundi" na wewe unamwacha kweli nani Mjinga.

hao wanao kushauri mfanye tena kafara ya uchaguzi ni wendawazimu, ulionawapi kafara ikafunika kafara. achana na siasa rudi kwenye taaluma yako. Watanzania wanahitaji nchi salama yenye amani. Waache wanasiasa wakanyukane huko kwenye majukwaa ya siasa. atayeshinda basi apewe stahili yake. vyombo vyote vya dola vikae mkao wa kazi, atayevunja taratibu za nchi achukuliwe hatua bila kuangalia chama gani anatoka, awe CCM au CUF, Chadema au TLP.

nawatakia mkae salama Tanzania. See You Mwakani, ukipata Muda njoo Visiwani tubadilishane mawazo. but ushauri wangu ukikufaa sawa usipokufaa poa tu manake sikio la Kufa...!
 
Back
Top Bottom