staili aliotumia wenje kuuliza wananch wanamtaka nani imenikosha sana.
mpaka sasa lembeli ndo mbunge wakahama yeye mwenyew haja amin mpaka kavua shati hadharan
We ni mwongo mkubwa labda tinga tinga ndo linaweza kutumia mafuta kiasi hicho. Kwa pikipiki za kichina hutumia lita moja na nusu kwa km mia moja. Mimi natumia prado lakini inakula km saba kwa lita , lo CCM mwaka huu hamupumui na mtakoma kulinga.CHADEMA wamepanga kuandamana kwa bodaboda kutoka Kahama - Tinde - Kahama umbali wa km 150 kwa lengo lisilojulikana, bodaboda nyingi ni nzee zinatumia mafuta litre moja kwa km tatu hivyo kila pikipiki itatumia litre 50 sawa na shs 150,000/= ambazo waendesha bodaboda hawana labda wafadhiliwe na chama.
Itabidi kila pikipiki iwe na dumu mbili za litre 20 kila moja kwani hakuna kituo cha mafuta zaidi ya isaka na kahama na kila pikipiki inauwezo wa kujazwa mafuta litre nane tu.
Pikipiki hizi sio sport na hazina rejeta hivyo huhitaji kupozwa kwa masaa matatu kila inapotembea km 15 kwa hiyo safari hii itachukua siku tatu au nne huku shughuli za kiuchumi zikiwa zimesimama kwa msongamano wa watu na magari, hii itasababisha watoto kuwa katika hatari ya kugongwa na magari hili lilitokea katika uchaguzi mdogo wa Igunga mtoto aligongwa na fuso na kufa palepale.
Kwa mtizamo huu nashindwa kuelewa viongozi wa CHADEMA ni watu wa namna gani, safari hii akifa mtu mbowe lazima uwajibike.
Ha ha ha ama kweli hii funga kazi !!?View attachment 271041
Kaaazi kweli kweli...!
Vipi washapita kura za maoni? Namtaka sana Esta akasaidiane na Halima Mdee, wanaivaa saana.
Ccm wamevua gamba (lembeli). Ganda la ccm ni chakula chadema (ukawa)
Ha ha ha ama kweli hii funga kazi !!?
nimeipenda ...twin sisters.. bulaya na mdee....watakua na impacts saana kwa Mabint na wamama...na pia itaondoa idea ya maccm ya kugombea vitimaalum tuu ka Sophia...Twin sisters.... Tunamkaribisha sana Mh Ester Kawe atutembelee kw pacha wake wa mjengoni...
Ccm wamevua gamba (lembeli). Ganda la ccm ni chakula chadema (ukawa)
Ccm wamevua gamba (lembeli). Ganda la ccm ni chakula chadema (ukawa)
ni hatari sana wajemeni ,hivi magufuli anategemea kura za wamama wazee tu wanaoogopa vita
Ccm haipo tena kahama, yaani nakwambia HAIPO!!
Mkuu
Ukibahatika kugombea kupitia cdm lazima ujiamini maana mpaka hapo hagawa hata mia na ana uhakika wa kushinda
Ila nalaumu sana makamanda wa kahama kwa kutokuweka update za kutosha
Mrema mwingine aibuka kahama.....loading......please wait
Tusubiri kura za maoni tuone kama atapitishwa, haya mengine ni maigizo tu kama ya mzee majuto.