falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,230
- 9,357
Wakuu, nimepokea taarifa kutoka Shinyanga zinasema leo Jumamosi katika mji wa Kahama kutawaka moto kwani team nzima ya CHADEMA itakuwa huko kumtambulisha mh. James David Lembeli au kama anavyojulikana zaidi kwa jina la (Mwana wa Maria).
Inasemekana tayari vijana wa kada mbalimbali tayari wamejipanga kupokea msafara huo kuanzia Tinde (75 km to Kahama) hadi Kahama.
Watakaokuwepo ni dk. Slaa, Lema, Mbowe, Tundu Lissu, Halima Mdee, Mnyika, Lembeli, Esta Bulaya na wengine wote.
Inaonekana wazi kuwa miaka 50 ya uhuru imepita sasa ni miaka 50 ya demokrasia,hii ni baada ya magufuli kupita katika mji huo na kukosa watu wa kumpokea,kumpungia mikono,CCM ilibidi wafanye kazi ya ziada kwenda kufata watu vijijini kwa malori.
Vijana zaidi 3000 kutoka mji wa kahama wakiwa na pikipiki zao wanaelelekea kuupokea msafara wa CHADEMA kuanzia nje ya mji huku noah zaidi ya 50
My take
Mwenye picha za Esta Bulaya atuwekee hapa ili tumfahamu vizuri.
Magufuli show me your friends and i will tell who you are

![]()
Kaaazi kweli kweli...!