Team nzima ya CHADEMA ndani ya Kahama leo mapokezi ya James Lembeli

Hizo kilometa 150 umezipataje?.Ninavyo jua mimi Tinde Isaka ni kilometa 35 na Isaka Kahama ni kilometa 40.Jumla ni kilometa 75.Bodaboda hutumia wastani wa 1lita kwa kilometa 70.Sasa ubaya upo wapi kwa mtu kupoteza lita moja au mbili kwa mstakabali wa maisha yake?.

kurudi tinde wanabebwa kwenye fuso au wataziendesha?
 
Nina T-Beter 125cc naongea kwa uzoefu, nakaa Tegeta nafanya kazi Tazara naweka lita mbili za mafuta naenda mara mbili na kurudi mara mbili (safari mbili) na hayaishi

Tegeta tazara 75km? sijawahi ishi dar nieleweshe mkuu
 
Duh mleta made hebu rekebisha hesabu zako kwanza, haiwezekani kabisa Tinde to kahama ikafika 150 km,pili pkpk itayojaza mafuta mwanzo wa safari haihitaji tena kujaza mafuta mpaka itafika, na hakuna pkpk inatembea km 15 ipumue eti imechemka haipo, hebu andika kiuhalisia kuliko ushabiki
 
CHADEMA wamepanga kuandamana kwa bodaboda kutoka Kahama - Tinde - Kahama umbali wa km 150 kwa lengo lisilojulikana, bodaboda nyingi ni nzee zinatumia mafuta litre moja kwa km tatu hivyo kila pikipiki itatumia litre 50 sawa na shs 150,000/= ambazo waendesha bodaboda hawana labda wafadhiliwe na chama.

Itabidi kila pikipiki iwe na dumu mbili za litre 20 kila moja kwani hakuna kituo cha mafuta zaidi ya isaka na kahama na kila pikipiki inauwezo wa kujazwa mafuta litre nane tu.

Pikipiki hizi sio sport na hazina rejeta hivyo huhitaji kupozwa kwa masaa matatu kila inapotembea km 15 kwa hiyo safari hii itachukua siku tatu au nne huku shughuli za kiuchumi zikiwa zimesimama kwa msongamano wa watu na magari, hii itasababisha watoto kuwa katika hatari ya kugongwa na magari hili lilitokea katika uchaguzi mdogo wa Igunga mtoto aligongwa na fuso na kufa palepale.

Kwa mtizamo huu nashindwa kuelewa viongozi wa CHADEMA ni watu wa namna gani, safari hii akifa mtu mbowe lazima uwajibike.

3KM/Litre ?!?!?!?!?!
Hats Beast ya Obama haiko hivyo
 
Duh mleta made hebu rekebisha hesabu zako kwanza, haiwezekani kabisa Tinde to kahama ikafika 150 km,pili pkpk itayojaza mafuta mwanzo wa safari haihitaji tena kujaza mafuta mpaka itafika, na hakuna pkpk inatembea km 15 ipumue eti imechemka haipo, hebu andika kiuhalisia kuliko ushabiki

Tinde kahama ni 75km, ukienda na kurudi zinakuwa 150km, hizi bodaboda za kwenye maandamano ni zile zilizochoka, huwezi peleka pikipiki mpya kwenye mambo ya kijinga.
 
CHADEMA wamepanga kuandamana kwa bodaboda kutoka Kahama - Tinde - Kahama umbali wa km 150 kwa lengo lisilojulikana, bodaboda nyingi ni nzee zinatumia mafuta litre moja kwa km tatu hivyo kila pikipiki itatumia litre 50 sawa na shs 150,000/= ambazo waendesha bodaboda hawana labda wafadhiliwe na chama.

Itabidi kila pikipiki iwe na dumu mbili za litre 20 kila moja kwani hakuna kituo cha mafuta zaidi ya isaka na kahama na kila pikipiki inauwezo wa kujazwa mafuta litre nane tu.

Pikipiki hizi sio sport na hazina rejeta hivyo huhitaji kupozwa kwa masaa matatu kila inapotembea km 15 kwa hiyo safari hii itachukua siku tatu au nne huku shughuli za kiuchumi zikiwa zimesimama kwa msongamano wa watu na magari, hii itasababisha watoto kuwa katika hatari ya kugongwa na magari hili lilitokea katika uchaguzi mdogo wa Igunga mtoto aligongwa na fuso na kufa palepale.

Kwa mtizamo huu nashindwa kuelewa viongozi wa CHADEMA ni watu wa namna gani, safari hii akifa mtu mbowe lazima uwajibike.

Uongo na 1.Kah-Tinde km 150! Ukweli ni kwamba ni km 70! Wengine wataendelea kuchangia kuainisha uongo katika andiko lako

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
CHADEMA wamepanga kuandamana kwa bodaboda kutoka Kahama - Tinde - Kahama umbali wa km 150 kwa lengo lisilojulikana, bodaboda nyingi ni nzee zinatumia mafuta litre moja kwa km tatu hivyo kila pikipiki itatumia litre 50 sawa na shs 150,000/= ambazo waendesha bodaboda hawana labda wafadhiliwe na chama.

Itabidi kila pikipiki iwe na dumu mbili za litre 20 kila moja kwani hakuna kituo cha mafuta zaidi ya isaka na kahama na kila pikipiki inauwezo wa kujazwa mafuta litre nane tu.

Pikipiki hizi sio sport na hazina rejeta hivyo huhitaji kupozwa kwa masaa matatu kila inapotembea km 15 kwa hiyo safari hii itachukua siku tatu au nne huku shughuli za kiuchumi zikiwa zimesimama kwa msongamano wa watu na magari, hii itasababisha watoto kuwa katika hatari ya kugongwa na magari hili lilitokea katika uchaguzi mdogo wa Igunga mtoto aligongwa na fuso na kufa palepale.

Kwa mtizamo huu nashindwa kuelewa viongozi wa CHADEMA ni watu wa namna gani, safari hii akifa mtu mbowe lazima uwajibike.

Hakika wewe ni zuzu hyo ratio ya mafuta umeipataje? Kama gari yangu inakula lita1 kwa km10 mpaka12 sembuse hyo pikipiki. Nani alikudanganya kutoka tinde mpaka kaham ni km150?
 
pikipiki,, Lita moja kwa KM 3. hata V8 hazili mafuta hivyo.. mleta mada unaonekena hujitambui kabisa, hata kama uongo hauwezi kuwa kiasi hiki
 
Haijawahi kuonekana katika Kahama,msafara wenye urefu wa Kilometer kama 5 ukijumuisha pikipiki,magari,baiskeli na watembea kwa miguu wamempokea Lembeli toka Tinde wakati akirudi jimboni kwakwe,watu wanadai hawajawahi kuona msafara wa aina hiyo hapo Kahama na Kanda ya ziwa nzima.
 
wamezoea ufisadi hao,maccm bajeti ya mafuta kwa pikpiki ni 1lt kwa 3km,msishangae ni kawaida.Kwani hamuonagi ukarabati tu wa nyumba moja ya serikali ni sawa na gharama ya ujenzi wa nyumba mpya kama hiyohiyo,wanaona kawaida.
 
Haijawahi kuonekana katika Kahama,msafara wenye urefu wa Kilometer kama 5 ukijumuisha pikipiki,magari,baiskeli na watembea kwa miguu wamempokea Lembeli toka Tinde wakati akirudi jimboni kwakwe,watu wanadai hawajawahi kuona msafara wa aina hiyo hapo Kahama na Kanda ya ziwa nzima.
Picha tafadhali!
 
mtoa maada huna hoja ama hujui hesabu au umefanya makusudi kwa lengo unalolijua mwenyewe.!! kama gari yangu yenye CC2260 inatumia lita 1 km 10 hadi 12 je bodaboda yenye CC125 itatumia lita 1 kwa km ngapi!! sitaki nikupe jibu.!! hata hoja ya umbali c sawa kabisa kwani umbali toka mwanza hadi shy ni km 164 tu.!! tinda hadi kahama haizidi km70.!! hivyo bodaboda itatumia si zadi ya lita6 kwa safari ya kwenda na kurudi ambayo ni sawa na Tshs 15,000/- hivyo tusipotoshe jamii kwa siasa maji taka.!!

my in take.!!
mimi si mwana siasa wala mwanachama wa chama chochote lakini nimeamua kuchangia hoja hii ili kupingana na upotoshaji wa mtoa maada..!!
 
Nimekuelewa, kwahiyo wakifika kahama hawarudi tinde? au watarudi kwa usafiri gani? haujaniambia kama toyo na sanlg inaweza safari 70km nonstop bila ku-overheat. Ukiwa dar na brevis au markX usidhani kila mtu anao uwezo wa kumudu gari kama lako, kumbuka likichakaa unatuuzia sisi huku wewe unaagiza jingine.

kwa taarifa yako waendesha bodaboda wamekataa kwenda tinde ikabidi msafara uanzie kijiji cha kagongwa km3 kutoka kahama.
 
Back
Top Bottom