Team nzima ya CHADEMA ndani ya Kahama leo mapokezi ya James Lembeli

Team nzima ya CHADEMA ndani ya Kahama leo mapokezi ya James Lembeli

njaa mbaya sana, hili tukio liliandaliwa hadi wakachonga na kiti na wakakitengenezea matendegu ya kubebea, hao mabaunsa afya mgogoro wamepewa makoti jua kali chini wanakandambili. wasukuma hawafanyi kazi za kishenzi kishenzi, watakuwa vijana waliokodiwa na esta bulaya kutoka bunda.

hali ikiendelea hivi kichaa chako kitakurudia kwa kasi,hv kuna baunsa hapo?au kuna alievaa koti hapo? wenzio wanaojitambua jana wamerudisha kadi
 
Nyeti za kuku zinafunuliwa kwa galika ya kimbunga.Chadema habari nyingine.
 
CHADEMA wamepanga kuandamana kwa bodaboda kutoka Kahama - Tinde - Kahama umbali wa km 150 kwa lengo lisilojulikana, bodaboda nyingi ni nzee zinatumia mafuta litre moja kwa km tatu hivyo kila pikipiki itatumia litre 50 sawa na shs 150,000/= ambazo waendesha bodaboda hawana labda wafadhiliwe na chama.

Itabidi kila pikipiki iwe na dumu mbili za litre 20 kila moja kwani hakuna kituo cha mafuta zaidi ya isaka na kahama na kila pikipiki inauwezo wa kujazwa mafuta litre nane tu.

Pikipiki hizi sio sport na hazina rejeta hivyo huhitaji kupozwa kwa masaa matatu kila inapotembea km 15 kwa hiyo safari hii itachukua siku tatu au nne huku shughuli za kiuchumi zikiwa zimesimama kwa msongamano wa watu na magari, hii itasababisha watoto kuwa katika hatari ya kugongwa na magari hili lilitokea katika uchaguzi mdogo wa Igunga mtoto aligongwa na fuso na kufa palepale.

Kwa mtizamo huu nashindwa kuelewa viongozi wa CHADEMA ni watu wa namna gani, safari hii akifa mtu mbowe lazima uwajibike.
Usiwe una andika kitu ambacho hujui,mm nilinunua pikipiki mwanza niliendesha hadi Tarime ni km 287 bila kusimama kokote ilikua mwaka 2006,kwa ushauri tu lita moja ya petrol kwa gari kama Opa au Vitz yenye CC1490 inaenda km 14 mpaka km 16,je kwa pikipiki yenye CC150 lita moja ya petrol itaenda km ngapi? Lita moja ya petrol kwa pikipiki yenye CC150 inaenda mpaka km36,kwa kukusaidia tu, kama pikipiki za Kahama zinatumia lita 1 kwa km 3,kwa umbari wa tinde Kahama wenye km 150 inatumia lita 50, je kwa gari kama Harrier yenye CC 3000 ina maana inatumia lita 4500 Kahama to Tinde, na ujue hizi gari zetu full tank ni lita 45 mpaka 80, Niambie kwa gari toka Kahama mpaka Tinde itatumia full tank ngapi? Kutoa gari Dar mpaka mwanza IST inatumia lita 140 na hapo umewasha AC
 
CHADEMA wamepanga kuandamana kwa bodaboda kutoka Kahama - Tinde - Kahama umbali wa km 150 kwa lengo lisilojulikana, bodaboda nyingi ni nzee zinatumia mafuta litre moja kwa km tatu hivyo kila pikipiki itatumia litre 50 sawa na shs 150,000/= ambazo waendesha bodaboda hawana labda wafadhiliwe na chama.

Itabidi kila pikipiki iwe na dumu mbili za litre 20 kila moja kwani hakuna kituo cha mafuta zaidi ya isaka na kahama na kila pikipiki inauwezo wa kujazwa mafuta litre nane tu.

Pikipiki hizi sio sport na hazina rejeta hivyo huhitaji kupozwa kwa masaa matatu kila inapotembea km 15 kwa hiyo safari hii itachukua siku tatu au nne huku shughuli za kiuchumi zikiwa zimesimama kwa msongamano wa watu na magari, hii itasababisha watoto kuwa katika hatari ya kugongwa na magari hili lilitokea katika uchaguzi mdogo wa Igunga mtoto aligongwa na fuso na kufa palepale.

Kwa mtizamo huu nashindwa kuelewa viongozi wa CHADEMA ni watu wa namna gani, safari hii akifa mtu mbowe lazima uwajibike.

Vitu vingine mtajiumiza roho bure tu jamani, Pikipiki ya aina gani hiyo inayotumiwa lita 1 kwa km 3? Ina maana bodaboda wa Kahama ni wajinga kiasi gani wafanye kazi ya kuendesha bodaboda kwa nauli ya elf 1000 kwa trip kwa umbali ambao unatumia lita moja ya mafuta?
 
hli lijamaa ni LIJINGA LA MWISHO DUNIANI PIKIPIK GAN INATUMIA LITA 1 KWA KM 3 ?JAMAN KUNA MIJITU MIJINGA SANA DUNIA HII . yaani hata pikpik ingechoka kiasi gan haiwez kufikia hapo halafu bado ikawa inatumika kma boda boda. hen hiyo boda boda ambayo ikitembea km 15 inapozwa ni ipi? watu wanatembea km50 n boda boda huyu anazungumzia 15? HIKI KIJAMAA NI KIJINGA HALAFU KINAONESHA KWA WATU KILIVYP KIJINGA. KINGEKAA KIMYA HATA TUSINGEJUA KUWA NI SO PUMBAVU KIASI HIKI.

Kuna jamaa yangu alikua dereva wa bodaboda Mwanza kwao ni Tabora, kila alipokua na safari ya kwenda kwao alikua anawasha Pikipiki yake anaenda Tabora sasa huyu jamaa mbona anataka kufanya sisi ni watoto?
 
Huyu alibebwa kwenye machela akanikumbusha kauli ya Mwalimu kuhusu kumbeba Mrema.Sasa mzee wa 'Nyeti za kuku' mambo yameshamshina.
 
Back
Top Bottom