Team nzima ya CHADEMA ndani ya Kahama leo mapokezi ya James Lembeli

CHADEMA wamepanga kuandamana kwa bodaboda kutoka Kahama - Tinde - Kahama umbali wa km 150 kwa lengo lisilojulikana, bodaboda nyingi ni nzee zinatumia mafuta litre moja kwa km tatu hivyo kila pikipiki itatumia litre 50 sawa na shs 150,000/= ambazo waendesha bodaboda hawana labda wafadhiliwe na chama.

Itabidi kila pikipiki iwe na dumu mbili za litre 20 kila moja kwani hakuna kituo cha mafuta zaidi ya isaka na kahama na kila pikipiki inauwezo wa kujazwa mafuta litre nane tu.

Pikipiki hizi sio sport na hazina rejeta hivyo huhitaji kupozwa kwa masaa matatu kila inapotembea km 15 kwa hiyo safari hii itachukua siku tatu au nne huku shughuli za kiuchumi zikiwa zimesimama kwa msongamano wa watu na magari, hii itasababisha watoto kuwa katika hatari ya kugongwa na magari hili lilitokea katika uchaguzi mdogo wa Igunga mtoto aligongwa na fuso na kufa palepale.

Kwa mtizamo huu nashindwa kuelewa viongozi wa CHADEMA ni watu wa namna gani, safari hii akifa mtu mbowe lazima uwajibike.

Kama Bodaboda zinatumia mafuta mengi kama unavyosema 3KM/Ltr vijana wetu wasingefanya biashara ya bodaboda ingekuwa hailipi. Wewe tulia tu dawa ukiingie, safari ya Matumaini Part II inaanza soon..
 
wamezoea ufisadi hao,maccm bajeti ya mafuta kwa pikpiki ni 1lt kwa 3km,msishangae ni kawaida.Kwani hamuonagi ukarabati tu wa nyumba moja ya serikali ni sawa na gharama ya ujenzi wa nyumba mpya kama hiyohiyo,wanaona kawaida.

mafisadi 11 yameshakatwa, lile namba tisa limeshahonga linakamilisha mikataba litie timu ukawa.
 
Haijawahi kuonekana katika Kahama,msafara wenye urefu wa Kilometer kama 5 ukijumuisha pikipiki,magari,baiskeli na watembea kwa miguu wamempokea Lembeli toka Tinde wakati akirudi jimboni kwakwe,watu wanadai hawajawahi kuona msafara wa aina hiyo hapo Kahama na Kanda ya ziwa nzima.
kanda ya ziwa nzima?
hizo chumvi sasa.
wekeni picha.
 
Uongo mchana kweupeee
Kutoka kahama hdi tinde ni 71km ambazo lita 4 kwenda na kurudi ni ndo ukweli maana kila siku tunatangaziwa pikipiki inatembea 70km kwa lita moja. Mimi nimeweka reserve lt 2
 
hli lijamaa ni LIJINGA LA MWISHO DUNIANI PIKIPIK GAN INATUMIA LITA 1 KWA KM 3 ?JAMAN KUNA MIJITU MIJINGA SANA DUNIA HII . yaani hata pikpik ingechoka kiasi gan haiwez kufikia hapo halafu bado ikawa inatumika kma boda boda. hen hiyo boda boda ambayo ikitembea km 15 inapozwa ni ipi? watu wanatembea km50 n boda boda huyu anazungumzia 15? HIKI KIJAMAA NI KIJINGA HALAFU KINAONESHA KWA WATU KILIVYP KIJINGA. KINGEKAA KIMYA HATA TUSINGEJUA KUWA NI SO PUMBAVU KIASI HIKI.
 
Eddy acha kupotosha jamii nimekuambia ukitumia lita moja au mbili kunaubaya gani?.Hizo 50 lita kwa kilometa 150 hata gari ndogo ni nyingi sana.Kahama ni kati ya Wilaya tajiri sana na Pikipiki zao asilimia 99 ni mpya.
 
Uongo mchana kweupeee
Kutoka kahama hdi tinde ni 71km ambazo lita 4 kwenda na kurudi ni ndo ukweli maana kila siku tunatangaziwa pikipiki inatembea 70km kwa lita moja. Mimi nimeweka reserve lt 2

hiyo pikipiki ni aina gani boxer, vespa, toyo sanlg? nitakuwekea mafuta fuu tank uende km 70 nijaze tena full tank ikitumia litre moja nakununulia ya pili.
 
Kunabaadhi ya post zilistahili kufutwa mapema kwa kukosa weledi na scientific technical data.

Huyu inaelekea hata hesabu za darasa la nne hajuwi na mambo ya fuel consumption ni zero.

Isitoshe anatukana watu wajinga kutokana na upumbavu wake kichwani Mwake.

Aibu sana.
 
Magamba yashachanganyikiwa IMG-20150725-WA0045.jpg
 
hli lijamaa ni LIJINGA LA MWISHO DUNIANI PIKIPIK GAN INATUMIA LITA 1 KWA KM 3 ?JAMAN KUNA MIJITU MIJINGA SANA DUNIA HII . yaani hata pikpik ingechoka kiasi gan haiwez kufikia hapo halafu bado ikawa inatumika kma boda boda. hen hiyo boda boda ambayo ikitembea km 15 inapozwa ni ipi? watu wanatembea km50 n boda boda huyu anazungumzia 15? HIKI KIJAMAA NI KIJINGA HALAFU KINAONESHA KWA WATU KILIVYP KIJINGA. KINGEKAA KIMYA HATA TUSINGEJUA KUWA NI SO PUMBAVU KIASI HIKI.

uwe na adabu,
 
CHADEMA wamepanga kuandamana kwa bodaboda kutoka Kahama - Tinde - Kahama umbali wa km 150 kwa lengo lisilojulikana, bodaboda nyingi ni nzee zinatumia mafuta litre moja kwa km tatu hivyo kila pikipiki itatumia litre 50 sawa na shs 150,000/= ambazo waendesha bodaboda hawana labda wafadhiliwe na chama.

Itabidi kila pikipiki iwe na dumu mbili za litre 20 kila moja kwani hakuna kituo cha mafuta zaidi ya isaka na kahama na kila pikipiki inauwezo wa kujazwa mafuta litre nane tu.

Pikipiki hizi sio sport na hazina rejeta hivyo huhitaji kupozwa kwa masaa matatu kila inapotembea km 15 kwa hiyo safari hii itachukua siku tatu au nne huku shughuli za kiuchumi zikiwa zimesimama kwa msongamano wa watu na magari, hii itasababisha watoto kuwa katika hatari ya kugongwa na magari hili lilitokea katika uchaguzi mdogo wa Igunga mtoto aligongwa na fuso na kufa palepale.

Kwa mtizamo huu nashindwa kuelewa viongozi wa CHADEMA ni watu wa namna gani, safari hii akifa mtu mbowe lazima uwajibike.

Amakweli akili ni nywele kila mtu ana zake,wewe hasara na faida ya hao wenye bodaboda inakuhusu nini? Hata wakitembea km 1000 inakugusa vipi?naona akili yako imelalia upande
 
CHADEMA wamepanga kuandamana kwa bodaboda kutoka Kahama - Tinde - Kahama umbali wa km 150 kwa lengo lisilojulikana, bodaboda nyingi ni nzee zinatumia mafuta litre moja kwa km tatu hivyo kila pikipiki itatumia litre 50 sawa na shs 150,000/= ambazo waendesha bodaboda hawana labda wafadhiliwe na chama.

Itabidi kila pikipiki iwe na dumu mbili za litre 20 kila moja kwani hakuna kituo cha mafuta zaidi ya isaka na kahama na kila pikipiki inauwezo wa kujazwa mafuta litre nane tu.

Pikipiki hizi sio sport na hazina rejeta hivyo huhitaji kupozwa kwa masaa matatu kila inapotembea km 15 kwa hiyo safari hii itachukua siku tatu au nne huku shughuli za kiuchumi zikiwa zimesimama kwa msongamano wa watu na magari, hii itasababisha watoto kuwa katika hatari ya kugongwa na magari hili lilitokea katika uchaguzi mdogo wa Igunga mtoto aligongwa na fuso na kufa palepale.

Kwa mtizamo huu nashindwa kuelewa viongozi wa CHADEMA ni watu wa namna gani, safari hii akifa mtu mbowe lazima uwajibike.
Fungua hapa video kuona maccm yalivyozoea wizi.
- Mahojiano JF: Madai ya Uraia ya Anatory Amani na tofauti zake za Kisiasa na Mhe. Kagasheki - #6
 
hiyo pikipiki ni aina gani boxer, vespa, toyo sanlg? nitakuwekea mafuta fuu tank uende km 70 nijaze tena full tank ikitumia litre moja nakununulia ya pili.

Usiwe mbishi watu wanazungumza kwa experience wewe unabuni tu!
 
CHADEMA wamepanga kuandamana kwa bodaboda kutoka Kahama - Tinde - Kahama umbali wa km 150 kwa lengo lisilojulikana, bodaboda nyingi ni nzee zinatumia mafuta litre moja kwa km tatu hivyo kila pikipiki itatumia litre 50 sawa na shs 150,000/= ambazo waendesha bodaboda hawana labda wafadhiliwe na chama.

Itabidi kila pikipiki iwe na dumu mbili za litre 20 kila moja kwani hakuna kituo cha mafuta zaidi ya isaka na kahama na kila pikipiki inauwezo wa kujazwa mafuta litre nane tu.

Pikipiki hizi sio sport na hazina rejeta hivyo huhitaji kupozwa kwa masaa matatu kila inapotembea km 15 kwa hiyo safari hii itachukua siku tatu au nne huku shughuli za kiuchumi zikiwa zimesimama kwa msongamano wa watu na magari, hii itasababisha watoto kuwa katika hatari ya kugongwa na magari hili lilitokea katika uchaguzi mdogo wa Igunga mtoto aligongwa na fuso na kufa palepale.

Kwa mtizamo huu nashindwa kuelewa viongozi wa CHADEMA ni watu wa namna gani, safari hii akifa mtu mbowe lazima uwajibike.

mkuu inaonekana sindao imekuingia kweli kweli,mpaka unasahau facts.hiyo inayotumia 1lt/3km itakuwa ni zodazoda siyo bodaboda tena kwani imefikia herufi ya mwisho ya z.boda hutumia 1lt/36-45km.
 
CHADEMA wamepanga kuandamana kwa bodaboda kutoka Kahama - Tinde - Kahama umbali wa km 150 kwa lengo lisilojulikana, bodaboda nyingi ni nzee zinatumia mafuta litre moja kwa km tatu hivyo kila pikipiki itatumia litre 50 sawa na shs 150,000/= ambazo waendesha bodaboda hawana labda wafadhiliwe na chama.

Itabidi kila pikipiki iwe na dumu mbili za litre 20 kila moja kwani hakuna kituo cha mafuta zaidi ya isaka na kahama na kila pikipiki inauwezo wa kujazwa mafuta litre nane tu.

Pikipiki hizi sio sport na hazina rejeta hivyo huhitaji kupozwa kwa masaa matatu kila inapotembea km 15 kwa hiyo safari hii itachukua siku tatu au nne huku shughuli za kiuchumi zikiwa zimesimama kwa msongamano wa watu na magari, hii itasababisha watoto kuwa katika hatari ya kugongwa na magari hili lilitokea katika uchaguzi mdogo wa Igunga mtoto aligongwa na fuso na kufa palepale.

Kwa mtizamo huu nashindwa kuelewa viongozi wa CHADEMA ni watu wa namna gani, safari hii akifa mtu mbowe lazima uwajibike.

Tunakusamehe bure maana hujui ulisemalo,nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiria
 
Back
Top Bottom