Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,261
- 98,289
Alipokuwa magambani wala hakuwahi kubebwa hivyo! CDM in kutamu kuliko maelezo!
Tunamshukuru mungu kwa kuendelea kutuunga mkono cdm
Alipokuwa magambani wala hakuwahi kubebwa hivyo! CDM in kutamu kuliko maelezo!
staili aliotumia wenje kuuliza wananch wanamtaka nani imenikosha sana.
mpaka sasa lembeli ndo mbunge wakahama yeye mwenyew haja amin mpaka kavua shati hadharan
Tunawapongeza sana wana wa kahama
Imekuwaje hao waanga hawajajengewa? Amiri Jeshi nakumbuka aliagiza ujenzi ufanywe na Jeshi!sio tinde tena, hayo mapokezi sawa. mbona karuka kupita mwakata hadi leo watu wanalala kwenye mahema huku cement na bati za slaa ziko stoo. Nilitegemea angeanza na kuweka jiwe la msingi kuashiria ujenzi wa nyumba za waathirika.
Nimeipenda sana hiyo
ahaaaa Tanesco wamwrudisha baaada ya taarifa kuwa imepita!