Team nzima ya CHADEMA ndani ya Kahama leo mapokezi ya James Lembeli

Team nzima ya CHADEMA ndani ya Kahama leo mapokezi ya James Lembeli

nimeona ITV myomi sooo ila humu picha kenge hebu fanyeni kulhali
 
Kwani wanaandamana kwa ajili gani? hawana mgombea wakutambulisha. Lembeli hata form hajachukua.

Mkuu, lengo lao litafahamika tu. Naona umemtaja hapo huyo Lembeli, sitoshangaa akawa nyuma ya safari hiyo...?
 
bavicha kwa mikwala jamani...
hakuna kitu kama hicho,mie napajua tinde to kahama huwezi panga watu pote hata kama awe anarudi yesu mwenyewe achilia mbali lembeli.
Nakuomba ufute hiyo kauli ya Yesu,hatuhitaji ukilaza wako hapa
 
wakuu naombeni mnisahihishe mana kwa kumbukumbu zangu ni kuwa mwaka 2010 Jame Lembeli ambaye aliugombea ubunge kwa tiketi ya CCM alipata ushindi dhidi ya chadema kwa kura moja na kuzua mtafaruku mkubwa sana mjini kahama paka nasikia alichomewa nyumba yake na shamba lake kuchomwa moto hali iliyombidi asikanyage jimbo lake kwa mwaka mmoja.
Nona kahamia CDM akijua hata akisimamishwa tena hawezi kushinda jimbo hilo, amakweli siasa ni ajira tosha.

Sio Lembeli ni Masele wa shinyanga.
 
Wakuu, nimepokea taarifa kutoka Shinyanga zinasema leo Jumamosi katika mji wa Kahama kutawaka moto kwani team nzima ya CHADEMA itakuwa huko kumtambulisha mh. James David Lembeli au kama anavyojulikana zaidi kwa jina la (Mwana wa Maria).

Inasemekana tayari vijana wa kada mbalimbali tayari wamejipanga kupokea msafara huo kuanzia Tinde (75 km to Kahama) hadi Kahama.

Watakaokuwepo ni dk. Slaa, Lema, Mbowe, Tundu Lissu, Halima Mdee, Mnyika, Lembeli, Esta Bulaya na wengine wote.

Inaonekana wazi kuwa miaka 50 ya uhuru imepita sasa ni miaka 50 ya demokrasia,hii ni baada ya magufuli kupita katika mji huo na kukosa watu wa kumpokea,kumpungia mikono,CCM ilibidi wafanye kazi ya ziada kwenda kufata watu vijijini kwa malori.

Vijana zaidi 3000 kutoka mji wa kahama wakiwa na pikipiki zao wanaelelekea kuupokea msafara wa CHADEMA kuanzia nje ya mji huku noah zaidi ya 50

My take
Mwenye picha za Esta Bulaya atuwekee hapa ili tumfahamu vizuri.

Magufuli show me your friends and i will tell who you are

Huu umwinyi na udhalilishaji mkubwa kubebwa . Namkumbuka Amin alivo bebwa. Mwana siasa makini hawezi kukubali kubebwa kama mfalme , unakataa ni mambo ya principle lakini jamaa anapunga mikono tayari kashawaona ubwana na utwana .ndani ya ccm bila ya shaka hakuna haya ndio maana akakitoa.
 
Tulia iingie
 
wananchi ndio waliamua
 
hii picha inatoa taswira fulani, hawa wote ni vijana kati ya miaka 25 na 30, nidhahiri ni wafanyakazi wa mgodini waliofutwa kazi na wafanyakazi wa kampuni ya wachina waliopunguzwa kazi baada ya kazi kumalizika, sasa kwa akili zao wanaona wanaikomoa serikali. hawa ni sehemu ndogo tu ya wakazi wa kahama. wabebaji wanahuzuni kubwa na uso wa mbuzi kama wanaenda malaloni, sasa kama wanafurahia ujio wa lembeli kinachowafanya wawe na masikitiko ni nini?

kubebwa kwenye machela ni tafsiri mbaya mno kwa mwafrika, hii inaweza tafsiriwa vibaya na nchi za wenzetu, wangeweza kumbeba mabegani kama wacheza mpira na sio kwenye machela.
 
Haya maandamano ya kuanzia tinde hadi kahama 75km RPC unayaruhusu vipi? huoni yataleta uvunjifu wa amani, yataleta msongamano wa magari na kutatiza shughuli za kiuchumi? kumbuka barabara hii inamsongamano mkubwa wa malori yanayoenda/kutoka Rwanda Burundi kongo na Uganda.

Hawa jamaa waandamane kuanzia mtaa wa manzese hadi uwanja wa kahama badala ya kutatiza shughuli za kiuchumi.

Mjinga kweli wewe huo msafara usionekane Dodoma,Singida na kwingineko ukaonekane Kahama au hayo magari ya kufanya msongamano yanaanzia miji na bandari ya wapi .Jiografia ya TZ na upepo wa biashara, usafirishaji unaijua wewe
 
hii picha inatoa taswira fulani, hawa wote ni vijana kati ya miaka 25 na 30, nidhahiri ni wafanyakazi wa mgodini waliofutwa kazi na wafanyakazi wa kampuni ya wachina waliopunguzwa kazi baada ya kazi kumalizika, sasa kwa akili zao wanaona wanaikomoa serikali. hawa ni sehemu ndogo tu ya wakazi wa kahama.

kubebwa kwenye machela ni tafsiri mbaya mno kwa mwafrika, hii inaweza tafsiriwa vibaya na nchi za wenzetu, wangeweza kumbeba mabegani kama wacheza mpira na sio kwenye machela.

wewe ni mmoja kati ya waliokimbia milembe ,hoja zako ni nyepesi mno kama vichaa wengine kwenye madampo,mbona magufuli alivyoteuliwa kugombea urais mlimbeba.punguza wivu wa kike
 
hii picha inatoa taswira fulani, hawa wote ni vijana kati ya miaka 25 na 30, nidhahiri ni wafanyakazi wa mgodini waliofutwa kazi na wafanyakazi wa kampuni ya wachina waliopunguzwa kazi baada ya kazi kumalizika, sasa kwa akili zao wanaona wanaikomoa serikali. hawa ni sehemu ndogo tu ya wakazi wa kahama. wabebaji wanahuzuni kubwa na uso wa mbuzi kama wanaenda malaloni, sasa kama wanafurahia ujio wa lembeli kinachowafanya wawe na masikitiko ni nini?

kubebwa kwenye machela ni tafsiri mbaya mno kwa mwafrika, hii inaweza tafsiriwa vibaya na nchi za wenzetu, wangeweza kumbeba mabegani kama wacheza mpira na sio kwenye machela.
Wewe ni janga lingine.Ni wapi kuna kampuni ya Wachina wanaochimba madini Kahama?Wewe ni kibogoyo wa macho?Hapo kabebwa kwenye machela?Hiyo tafsiri mbaya kubebwa kwenye machela ni yako wewe mwenye mapengo ktk kufikiri.Je hao wanaombeba si sehemu ya wapiga kura ambao wanaweza kubadili matokeo au hukumbuki kuna mbunge alishinda kwa tofauti ya kura moja?
 
Haya majamaa ya hovyo kweli, tuko kwenye ibada za kukumbuka waliofia nchi yetu jingine liko busy linachekelea kubebwa kwenye machela, yaani tabu tupu.
 
Back
Top Bottom