juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,480
Chadema hii sifa sasa,,cjui ccm wapo hali gani kwa sasa,wanapumulia gesi,na baado picha kamili linakuja
Chadema hii sifa sasa,,cjui ccm wapo hali gani kwa sasa,wanapumulia gesi,na baado picha kamili linakuja
Haya majamaa ya hovyo kweli, tuko kwenye ibada za kukumbuka waliofia nchi yetu jingine liko busy linachekelea kubebwa kwenye machela, yaani tabu tupu.
huyo lembeli ni msukuma mwenzenu na waliombeba ni wasukuma
Hii picha itaua mapanya buku wengi mwaka huu inaitwa REDCAT.njaa mbaya sana, hili tukio liliandaliwa hadi wakachonga na kiti na wakakitengenezea matendegu ya kubebea, hao mabaunsa afya mgogoro wamepewa makoti jua kali chini wanakandambili. wasukuma hawafanyi kazi za kishenzi kishenzi, watakuwa vijana waliokodiwa na esta bulaya kutoka bunda.
Kwanini tukasirike na sisi tumemtema mapema?
Dada Faiza, nasikia na wewe wajitayarisha kuvua gamba na kuvaa gwanda siku chache zijazo, ili kumsindikiza Lowasa!
Washenzi sana, wakadiriaji wa mwanzo walikadiria uongo wakazidisha gharama na idadi ya nyumba.
hehehehe polis wenyewe walisalimu amri wakaanza kushoot video ya msafara uliovunja rekodi katika historia ya mkoa huo
hiyo style inaitwa komesha ccm .njaa mbaya sana, hili tukio liliandaliwa hadi wakachonga na kiti na wakakitengenezea matendegu ya kubebea, hao mabaunsa afya mgogoro wamepewa makoti jua kali chini wanakandambili. wasukuma hawafanyi kazi za kishenzi kishenzi, watakuwa vijana waliokodiwa na esta bulaya kutoka bunda.
zote .Hivi Lembeli mchakato wa kura za maoni wa Chadema Kahama amepata kura ngapi?
kimenuka !
Ndivyo mnavyo jidanganya?
Hivi Lembeli mchakato wa kura za maoni wa Chadema Kahama amepata kura ngapi?