Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
Magufuri sio Msukuma, sio Mzinza na sio Msubi, kabila la Magufuri ni ma-CCM "Tundu Lissu 2015"
Birds of the same feather flocks together!
Dada tulia iingie vizuri dawa, najua habari hii ni chungu sana kwako, jikaze tu.Hongera chadema kumnadi mgombea urais Lembeli na mgombea mwenza Ester Bulaya, team nzima mnakimbizana kama watoto wa darasa la kwanza wanawahi foleni ya uji.
Hizo kilometa 150 umezipataje?.Ninavyo jua mimi Tinde Isaka ni kilometa 35 na Isaka Kahama ni kilometa 40.Jumla ni kilometa 75.Bodaboda hutumia wastani wa 1lita kwa kilometa 70.Sasa ubaya upo wapi kwa mtu kupoteza lita moja au mbili kwa mstakabali wa maisha yake?.
wamezoea ufisadi hao,maccm bajeti ya mafuta kwa pikpiki ni 1lt kwa 3km,msishangae ni kawaida.Kwani hamuonagi ukarabati tu wa nyumba moja ya serikali ni sawa na gharama ya ujenzi wa nyumba mpya kama hiyohiyo,wanaona kawaida.
wakuu naombeni mnisahihishe mana kwa kumbukumbu zangu ni kuwa mwaka 2010 Jame Lembeli ambaye aliugombea ubunge kwa tiketi ya CCM alipata ushindi dhidi ya chadema kwa kura moja na kuzua mtafaruku mkubwa sana mjini kahama paka nasikia alichomewa nyumba yake na shamba lake kuchomwa moto hali iliyombidi asikanyage jimbo lake kwa mwaka mmoja.
Nona kahamia CDM akijua hata akisimamishwa tena hawezi kushinda jimbo hilo, amakweli siasa ni ajira tosha.
lembeli bora agombee uraisi sio ubunge.
Lembeli tatizo lake ikiwa moja tu, kuwa ccm na yeye akijua haendani na ccm!
Kwa nilichokiona kahama wakuu, ngoja niagze castle baridi ntachangia badaye,.
hiyo ilikuwa ni shinyanga mjini..
kuna fununu lembeli ndo atakuwa mgombea urais wa ukawa
mungu akutangulie mh lembeli haki ya MTU haipotei ukiikosa ccm utaipata chadema nilio yaona Leo kahama nimeamin na kujifunza kitu
Wapi Kangi Lugola, Deo Filikunjombe.....?? Wakija na hawa sijuhi CCM itajificha wapi..??