Kwani wanaandamana kwa ajili gani? hawana mgombea wakutambulisha. Lembeli hata form hajachukua.Unasema lengo lao la kuandamana halijulikani??
FYI: Kwa kuandika hivi tu; utasaidia lengo lao la kuandamana lijulikane....

Kamanda aliyesajiliwa hivi karibuni na team ya ushindi ya chadema,leo ndo anaelekea jimboni kwake Kahama. Mapokezi makubwa yameanzia ktk mji mdogo wa kagongwa. Ni mapokezi makubwa ambayo hayajawahi kushuhudiwa ktk mji huo mdogo wa kagongwa.
Jitihada za kuweka picha zinaendelea na tutaziweka hapa muda mfupi ujao..!
Bodaboda hutumia lita moja kwa km 60-80 hesabu zako zina matege
huo ni msafara wa chadema kumsindikiza lembeli hadi mji wa kahama na tayari mkutano umeanza
kwa mujibu wa wanakahama hakuna mwanasiasa aliewahi kuvunja rekodi ya kujaza msafara mkubwa zaidi kama alivyofanya lembeli
Mleta mada hajui hata matumizi ya vyombo vta moto pikipiki hutumia lita moja kati ya kn40 hadi 60 kuba nagari hutymia lura moha hadi km 15 hutu ni gamba wivu unemjaaa.
Mleta mada hajui hata matumizi ya vyombo vta moto pikipiki hutumia lita moja kati ya kn40 hadi 60 kuba nagari hutymia lura moha hadi km 15 hutu ni gamba wivu unemjaaa.
Aweke jiwe la msingi km nani!!? Angesimama mwakata wangesema anafanya kampeni. Subiri muda ufike. Halafu mwakata ni jimbo la msalala.!sio tinde tena, hayo mapokezi sawa. mbona karuka kupita mwakata hadi leo watu wanalala kwenye mahema huku cement na bati za slaa ziko stoo. Nilitegemea angeanza na kuweka jiwe la msingi kuashiria ujenzi wa nyumba za waathirika.
Hizo kilometa 150 umezipataje?.Ninavyo jua mimi Tinde Isaka ni kilometa 35 na Isaka Kahama ni kilometa 40.Jumla ni kilometa 75.Bodaboda hutumia wastani wa 1lita kwa kilometa 70.Sasa ubaya upo wapi kwa mtu kupoteza lita moja au mbili kwa mstakabali wa maisha yake?.