kuna fununu lembeli ndo atakuwa mgombea urais wa ukawa
Mkuu Kumbe Shida Yako Sio Mkutano Tena Bali Ester! But Nmecheka Sana.
Weka picha
Hongera chadema kumnadi mgombea urais Lembeli na mgombea mwenza Ester Bulaya, team nzima mnakimbizana kama watoto wa darasa la kwanza wanawahi foleni ya uji.
Haya maandamano ya kuanzia tinde hadi kahama 75km RPC unayaruhusu vipi? huoni yataleta uvunjifu wa amani, yataleta msongamano wa magari na kutatiza shughuli za kiuchumi? kumbuka barabara hii inamsongamano mkubwa wa malori yanayoenda/kutoka Rwanda Burundi kongo na Uganda.
Hawa jamaa waandamane kuanzia mtaa wa manzese hadi uwanja wa kahama badala ya kutatiza shughuli za kiuchumi.