Endapo Yanga na Simba zitakutana Final Mapinduzi cup

uhurumoja

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
5,303
9,486
Endapo Yanga na Simba zitakutana Final ya mapinduzi hiyo trh 13 basi itakuwa ni derby ya 3 ndani ya mda mfupi na wachunguzi wa masuala ya mpira wakiongozwa na Eddo Kumwembe wanasema huenda team hizi zikakutana nusu final ya Cafcl
Hii mi naona inapunguza heshima ya derby hasa ikichukuliwa kuwa imetoka kufanyika mda si mrefu (Nov 5) na mnyama kupoteza vibaya
Upande wa wanasimba wanaonesha kufurahia jambo hili usoni ila moyoni wanaona kama Gift Fredy kawaka huenda wasipate hata lile Moja walilopata huku wanayanga wao wakiona Bora team ijivunje na kutoka maana ukuta wote haupo (Diara,Job,Bacca,Nyetoboy na Aucho bado hajajulikana kama atakuwepo)
ANYWAY MI NASEMA "NGARIBA HAOGOPI MKOJO"liwalo na liwe robo APR nusu Singida Kisha ajae na aje.
 
Mtoa uzi ni yanga
Ni kweli kabisa ila sijapenda sana Kila ukiamka derby hii hapa ngao ya Hisani ligi tena bonanza itakuja FA si ajabu hata watu wakaanza kupungua viwanjani wakicheza Hawa nguli
 
Back
Top Bottom