teachers junction;9053296 said:sijakuelewa
achene utapeli na kutaka kutajirikia kupitia migongo ya wafua jasho mnapaswa kutiwa mbaroni na kufungwa kwani nyie ni sawa na wazi wa nguvu kazi za watu
Naomba nifikiliwe jamanii...nina uwezo wa kufundusha history na kiswahili olevel..ingawa nmesoma ba ya journalism..lakini ndani yake nmesomea hayo kama mwandishi ni sehemu ya mwalimu hvyo basi naomba ikionekana kuna nafasi ya masomo hayo nipo tayari nipo dar. namba zangu za simu ni 0757533748, 0718780448, 0682284573...nna nilishawahi kufundisha miezi 8 by the time nmemaliza form six. na elimu ya chuo pia nmesoma kiswahili na history na prinsple of teaching as a subject ukiacha all packege nyngne ya journalism.. npo tayarii
We nae si umeelewa?
Mkuu uwe makini unakosea sana spelling
Halafu anataka akatufundishie watoto.
its ok nakili nimekosea wakuu, ahsanteni kwa kunikosea nitajirekebisha.
Wamekukosea nin tena mkuu? au ulikuwa unamaanisha ahsanteni kwa kunikosoa? du majanga haya, you isn't a professional teacher vinginevyo unaweza kuwa kama yule mwalimu aliyembishia na kumchapa mwanafunzi kuwa luninga haiwashwi kwa remote, bali inawashwa kwa kile kitufe cha kuwashia papo hapo kwenye luninga, kwakuwa ndio luninga pekee aliyowahi kuiona toka azaliwe.Na kitendo cha kukosea spelling kuna badili maana ya maneno mf. ukaandika neno ubaoni na kuambia wanafunzi wasome kwa pamoja neno kum* lakini kumbe nia yako ilikuwa kuandika neno kama.Kuwa makini mkuu.
ok, nilimaanisha kunikosoa na wala si kunikosea, nadhani hapo sasa nimeeleweka. Ni bahati mbaya na wala si ndicho nilichofikiria kuandika hivyo mlivyoona, naamini kwa marekebisho haya sasa mmenielewa."you isn't a professional teacher" mmmmh
teachers junction;8011417 said:Habari wana JF.
Mawakala wa ajira za walimu tanzania "Teachers junction" kuanzia sasa tutakuwa tunaweka updatz zetu humu. Hivyo walimu, wasokuwa walimu bali wamewahi kufundisha na wenye nia ya kufundisha. Tunashauri wawe na mazoea ya kupita hapa kila mara ili kujua nini tunacho kwa wakati huo. Pia zingatia kuwa nafasi zitakazotangazwa ni zile zilizopo kwa wakati huo.
Hata hivyo mwalimu anapofanya usajili wakati nafasi yake hakuna atapewa kipaumbele pindi itokeapo kabla ya kutangazwa.
Teachers junction the strength of eduation.
+255753-810857
Wamekukosea nin
tena mkuu? au ulikuwa unamaanisha ahsanteni kwa kunikosoa? du majanga
haya, you isn't a professional teacher vinginevyo unaweza kuwa kama yule
mwalimu aliyembishia na kumchapa mwanafunzi kuwa luninga haiwashwi kwa
remote, bali inawashwa kwa kile kitufe cha kuwashia papo hapo kwenye
luninga, kwakuwa ndio luninga pekee aliyowahi kuiona toka azaliwe.Na
kitendo cha kukosea spelling kuna badili maana ya maneno mf. ukaandika
neno ubaoni na kuambia wanafunzi wasome kwa pamoja neno kum* lakini
kumbe nia yako ilikuwa kuandika neno kama.Kuwa makini mkuu.
screen touch hizo.
"you isn't a professional teacher" mmmmh
teachers junction;9147098 said:Mwalimu wa English and Kiswah or English and .... or swahil and ...
awe na uzoefu not less than 2yearz teachng experienc.
location.
mbagala.
parkage 700,000/=
nafac 3
mwisho wa order.
08,04,2014.
0753-810857
teachers junction;9164429 said:Hivi humu jf hawa walimu hawapo?.
tunapata walimu wengine.
please kama kuna mtu unamfahamu hata kama anafanyakaz somwhr especialy in a private school plz mpe hii taarifa.
take home ni 650,000/= to 700,000/=
nafasi zimefika tano tafadhali hebu tokeni huko mafichoni.
0753-810857