Teachers‘ Junction

Teachers‘ Junction

teachers‘ junction;8289427 said:
Habari wana jf.
kwa walimu walljjsajili alokuwa tayari kufanya na Agape history,geo and kiswahili.
Marian bagamoyo science,Social study and english.
Tanga biology,physics and chemistry.
Arusha prime kiswahili,chemistry and biology.
kwa wasojisaliji wenye utayari mnakarkbishwa lamoja na form six alosoma pcm,pcb,cba,cbg na coz nyingne za science.
+255-753810857

mimi form six nmesoma PGM,nina shahada ya computer science. Nahitaji kazi ya kufundisha maeneo dar,pwani na morogoro!
 
Nimemaliza chuo cha ualimu morogoro 2013 option Historia na Kiingereza . call me 0719297747/0766619183, Nipo tayari mikoa ya Morogoro,Dar,Arusha ,Pwan,Mwanza
 
I am graduate teacher with one year teaching experience in geo, civ and hist. Now nipo nzega nataka kufundisha private school or college.0689561347.
 
uhitaji wa haraka walimu wa diploma wawe waislam na wa masomo ya science.
shule ziko kibaha,mlandizi na tegeta.
wanapewa nyumba na chakula.
0753-810857
 
teachers‘ junction;8011417 said:
habari wana jf.
Mawakala wa ajira za walimu tanzania.
Teachers‘ junction
kuanzia sasa tutakuwa tunaweka updatz zetu humu.
Hivyo walimu,wasokuwa walimu bali wamewahi kufundisha na wenye nia ya kufundisha.
Tunashauri wawe na mazoea ya kupita hapa kila mara ili kujua nini tunacho kwa wakati huo.
Pia zingatia kuwa nafasi zitakazotangazwa ni zile zilizopo kwa wakati huo.
Hata hivyo mwalimu anapofanya usajili wakati nafasi yake hakuna atapewa kipaumbele pindi itokeapo kabla ya kutangazwa.
Teachers junction
the strength of eduation.
+255753-810857

ero link ya walimu!!!
 
Habari wana jf.
Wale walimu wa Chemistry,physics na English interview ni leo St.Amne ya mbezi kimara.
wale wa bagamoyn interview iko kama mlivyoarifiwa.
wale walimu wa kwenda Arusha tutawajuza kesho kama ni tarehe 20th au 21st of january.
walimu wa kwenda chalinze,mbagala kuu na kimara nafasi bado.
pia wanahitajika haraka form six walosoma Pcm,Pcb cbg.
0753-810857
 
Hitajio la haraka.
mwalimu wa kiswahil form five na six.
mwalimu wa biology five na six interview kesho kimara.
call and come ukiwa na vitu vyote tunavyohtj.
0753-810857
 
hivi kwa nini walimu mnawanyanyasa,ingekuwa uwezo wangu nigewashauri watu wasisome ualimu tuone nchi hii ingefika wapi.
 
Kongowe mbagala
history and geography interview kesho asbuh.
Kongowe kibaha
chemistry and biology interview kesho mchana.
Mbezi kwa msuguli
biology and physics kesho na Monday

0753-810857
 
mimi form six nimesoma pcb naweza pata nafasi npo tayari 0764649249
hahaha nimependa jibu lako hapo chini. Yaani kwa maelezo hayo hapo juu ana vigezo kabisa!
teachers‘ junction;8312448 said:
tutafute kijana.
maelezo yanaonesha unavigezo.
sasa unaweka namba wakt tumeshakuwekea si upige?
 
Back
Top Bottom