Teachers‘ Junction

Teachers‘ Junction

mimi nina degree ya sociology...naeza pata kazi ...pia nataka maeneo ya morogoro au pwani
 
Habari wana jf.
kwa walimu walljjsajili alokuwa tayari kufanya na Agape history,geo and kiswahili.
Marian bagamoyo science,Social study and english.
Tanga biology,physics and chemistry.
Arusha prime kiswahili,chemistry and biology.
kwa wasojisaliji wenye utayari mnakarkbishwa lamoja na form six alosoma pcm,pcb,cba,cbg na coz nyingne za science.
+255-753810857
 
teachers‘ junction;8289427 said:
Habari wana jf.
kwa walimu walljjsajili alokuwa tayari kufanya na Agape history,geo and kiswahili.
Marian bagamoyo science,Social study and english.
Tanga biology,physics and chemistry.
Arusha prime kiswahili,chemistry and biology.
kwa wasojisaliji wenye utayari mnakarkbishwa lamoja na form six alosoma pcm,pcb,cba,cbg na coz nyingne za science.
+255-753810857

mimi form six nimesoma pcb naweza pata nafasi npo tayari 0764649249
 
teacher junction: habari mi nimuhitimu bachelor of commerce B.COM kwasasa nafundisha tuition hapa dar, kutokana nakutokuwa teacher by professional nilikuwa naomba kamaikiwezekana kupata shule ya kufundisha masomo ya commerce, bookkeping na pia ninauwezo mzuri katika masomo ya hesabu na physics. cell; 0752022519. ahsanteni
 
Bunju.
shule ni primary.
1.mkuu wa shule awe na diploma
2.Diploma wawil science and social
3.grade A wanne
5.nursery wawili.

salary resonable
+255753-810857
 
teachers‘ junction;8035047 said:
Habari.
kuna nafasi tatu.
1.mwalimu wa biology nafas 2
kongowe mzinga.
offer not less 550,000/=
2.mwalimu wa english.
kongowe mwisho
offer not less 700,000/=
3.physics and civics.
kongowe mwisho.
offer not less than 670,000/=
zote ni O‘level.
mwisho tarehe j5 ya tarehe 11/12/2013.

Nyingine ziko kimara mwisho.
Olevel na Primary.
tutazitangaza jumaatano
11/12/2013.
+255-753810857.
Teachers Junction

mimi naitwa Juma kutoka Kenya na ni mwalimu wa kizungu.I've 10yrs teaching exp.2547234420
 
1.Bunju mkuu wa shule ya primary awe na diploma.
awe amewah kuwa mkuu na mtaaluma.
2.bungu diploma nafasi mbili, grade A nafasi tatu na awali nafasi mbili.
kongowe mbagala form six alosoma pcm.
kaa tayari walimu zaidi ya saba kongowe kibaha unalipiwa nyumba .
+255-753810857
 
teachers‘ junction;8350895 said:
1.Bunju mkuu wa shule ya primary awe na diploma.
awe amewah kuwa mkuu na mtaaluma.
2.bungu diploma nafasi mbili, grade A nafasi tatu na awali nafasi mbili.
kongowe mbagala form six alosoma pcm.
kaa tayari walimu zaidi ya saba kongowe kibaha unalipiwa nyumba .
+255-753810857

Office yako ipo wapi t. junction
 
Kongowe kibaha.
unapewa nyumba,chakula asubh,mchana na ucku.
masoma.
physicz and mathematics
chemistry and biology
salary not less than 450,000/=
+255-753810857
mwisho tarehe 17,01,2014
 
mind you, teaching is a profession, anyone cannot be a teacher. A teacher should go a series of training rather than academics. Usidhalilishe taaluma. ''eti wasiokuwa walimu bali wamewahi kufundisha'' hata mzazi ni mwalimu basi. To hell teacher's junction
tatizo ni uhaba wa walimu ndo maana hata wasio na proffesion ya ualimuwanapata mwanya wa ajira,..kama unaongea ukwel waliokufundisha chuo kikuu wote wana taaluma ualimu?..jiulize kw nn fursa hiz hazipo kwenye sekta nyingine kama afya???
 
Back
Top Bottom