TCU ni kama selection tayari!

we kama unajua,waambie vijana matokeo ya selection zao ni lini!!over

to be honest anyday from wednesday kila kitu kitakua tayari.ni vema kupitia pia kwenye web za vyuo kwan vyuo vingi tayari wamekabidhiwa orodha.kusema ukweli kuna magumashi fulan hv tcu.bt ni vgumu kuyasema kwa media kwan wanayatatua.

hapo ndio umeongea neno,hope wamekupata!over

to be honest anyday from wednesday kila kitu kitakua tayari.ni vema kupitia pia kwenye web za vyuo kwan vyuo vingi tayari wamekabidhiwa orodha.kusema ukweli kuna magumashi fulan hv tcu.bt ni vgumu kuyasema kwa media kwan wanayatatua.

thanx kwa hii taarifa. Atleast na mimi nimejua kinachoendelea.

pole,kwa taarifa yako we hujachaguliwa..endelea kupga tempo 2.

duh! Kaka huna hata huruma? Aiwezekani bwana maana program zangu mpaka leo zipo pia nikicompare na matokeo yangu ya olevel na alevel ambayo sijawah kufeli hapo ndio ninabisha. Ila ulijuaje? Maana nipipa tempo sasa mpaka nikiingia chuo.. Heheheee. :)

jamani hebu nisaidien mm niliomba scholarship za mozambique,na vyuo vya bongo,bt nilipofungua program zang nlikuta za kibongo tu,na zile scholarship hazipo ambazo ndo zlikuwa my first preferences!sasa inamaana ndo tuseme kwa upand wa scholaship ndo tyr ishakula kwangu au?maana mpk sasa kimya!UZOEFU WENU JAMANI.

jamani hebu nisaidien, mm niliomba scholarship za mozambique,na vyuo vya bongo,bt nilipofungua program zang nlikuta za kibongo tu,na zile scholarship hazipo ambazo ndo zlikuwa my first preferences!sasa inamaana ndo tuseme kwa upand wa scholaship ndo tyr ishakula kwangu au?maana mpk sasa kimya!UZOEFU WENU JAMANI.

jamani hebu nisaidien mm niliomba scholarship za mozambique,na vyuo vya bongo,bt nilipofungua program zang nlikuta za kibongo tu,na zile scholarship hazipo ambazo ndo zlikuwa my first preferences!sasa inamaana ndo tuseme kwa upand wa scholaship ndo tyr ishakula kwangu au?maana mpk sasa kimya!UZOEFU WENU JAMANI.
kuna possibility kubwa ya programme zilizobaki moja wapo ndio watayokuchagua . na kuhusu hizo za scholarship yawezekana zilikuwa chache na wenyewe vigezo ni wengi so subiri hizi za kibongo tu ...

naomba kuuliza kwa wale walioapply direct vyuoni wenye diploma wanaotaka soma degree watajuaje kama wamechaguliwa au la!

Habar Wana JF,nilikuwa naomba kujua kama ukikuta hakuna program ukiingia sehem ya kuadd,remov,change ina maana ukishamaliza kuadd ndio kusema unaweza kuapply kupitia hapo au huwez kuapply kupitia hapo mpaka sehemu nyingine?

Wana jf wenzangu ni wazi kua unsellected applicants tayari majina yao yametoka na wote ambao program zao zilifutwa ndo waliopo kwenye list.msife moyo ndg wangu ktk bwana...
Nasisitiza msikate tamaa ombeni tena japo vyuo ving ni vya private na tutn fees ndo kama hvyo tena.
Nawapongeza wale wote wasiofutiwa program zao.nitarudi tena na body ya mikopo(heslb)muda si mrefu kuwajuza nivpi na nini kinaendelea. inshaaalah tuko pamoja.

mkuu, nina shida 1. Nipo mbali na internet cafe, hapa nilipo ninatumia mobile browser but i cant open hiyo list ya ambao hawajachaguli. Kama unaweza nikupe jina na namba unichekie!

Wana jf wenzangu ni wazi kua unsellected applicants tayari majina yao yametoka na wote ambao program zao zilifutwa ndo waliopo kwenye list.msife moyo ndg wangu ktk bwana...

Nasisitiza msikate tamaa ombeni tena japo vyuo ving ni vya private na tutn fees ndo kama hvyo tena.

Nawapongeza wale wote wasiofutiwa program zao.nitarudi tena na body ya mikopo(heslb)muda si mrefu kuwajuza nivpi na nini kinaendelea. inshaaalah tuko pamoja.

usalama wa taifa nin?

Hebu mi naomba unipe fikra ktk hl,kuna rafiki yang mmoja yeye program zake zilifutwa bt ktk list ya unsellected applcants hayumo.sasa mtu km huy unamshaur nn?

Wana Jf wenzangu. Nikitaka kutengeneza 'personal website for free' nfanyaje kwa natakaweka taarifa fup tu kwa ajil ya kupata msaada fulan hvy yaitajka. Naomben mnsaidie wataalam.

Na mwaka huu si wangefanya hivi basi angalau hata tuwe na matumaini.

Back
Top Bottom