TCU ni kama selection tayari! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TCU ni kama selection tayari!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Baba Collin, Aug 10, 2011.

1. Baba Collin

Baba Collin JF-Expert Member

#1
Aug 10, 2011
Joined: Aug 1, 2011
Messages: 458
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
Habari zenyu wana JF?
[​IMG]Kwa wale 1st aplplicants ni wazi kwamba selection ni kama imetoka kwani tayari 2nd application ipo on.kilicho baki ni watu kujua wamepangwa wapi.kwa wale ambao hawakuchaguliwa ni rahisi kujua kwan utakapokwenda kwenye account yako na kulogi in nenda moja kwa moja kwenye my programs then kama utakuta program zako hazipo na umejibiwa no records found
inamaanisha upo kwenye unsellected upplicants hivyo unatakiwa uombe upya yaani uingize upya new programs ambazo wametoa tayari na idadi ya watu ambao wanahitajika ktk kila chuo pamoja na cut off points.kwa wale ambao watakuta program zao zipo basi hawana haja ya kujaza tena kwani wao ni sellected appli View attachment NewEmptySlot.pdf View attachment NewEmptySlot.pdf View attachment NewEmptySlot.pdf View attachment NewEmptySlot.pdf View attachment NewEmptySlot.pdf cants wasubiri tu kujua wametupwa wapi.naomba kuwasilisha. View attachment NewEmptySlot.pdf View attachment NewEmptySlot.pdf

2. t

tope pondwa Member

#2
Aug 10, 2011
Joined: Jul 17, 2011
Messages: 50
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
mkuu umetisha,wewe ni genius.

3. Perry

Perry JF-Expert Member

#3
Aug 10, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280
We baba coln acha kurusha wa2 roho,2na wadogo ze2 huku wacje kufa cz of presha bure..

4. t

tope pondwa Member

#4
Aug 10, 2011
Joined: Jul 17, 2011
Messages: 50
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Senetor hiyo ni kweli kabisa nimeangalia programmes zangu zipo,za mshikaji pia zilikuwepo ila za mshikaji mwingine hamna,wameandika hivi,NO RECORDS FOUND,click here to add or modify programess,NI KWELI KABISA.

5. Baba Collin

Baba Collin JF-Expert Member

#5
Aug 10, 2011
Joined: Aug 1, 2011
Messages: 458
Likes Received: 0
Trophy Points: 33

acha ubishi mkuu.mwambie akacheki program zake kama zpo ujue kaula km hamna mwambie asome tena orodha ya vyuo aombe tena wametoa orodha mpya.

6. Perry

Perry JF-Expert Member

#6
Aug 10, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280

haya sasa,mpunguze presha vijana.

7. Perry

Perry JF-Expert Member

#7
Aug 10, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280

poa mkuu,ucjali c unajua tena ce wabongo 2shazoea kudanganyana so had m2 uprove mwenyewe.

8. S

Said maneno Member

#8
Aug 10, 2011
Joined: Aug 2, 2011
Messages: 38
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Kweli wabongo ni hatari na ndo mana wakiruka kwenda majuu huwa hawarudi,umefikiria vizuri lkn sikusupport hadi nikacheki za kwangu.

9. t

tope pondwa Member

#9
Aug 10, 2011
Joined: Jul 17, 2011
Messages: 50
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Saidi Maneno hilo halina ubishi mi nimethibitisha,ndio maana kumbe panaitwa HOME OF GREAT THINKERS.

10. Lady N

Lady N JF-Expert Member

#10
Aug 10, 2011
Joined: Nov 1, 2009
Messages: 1,919
Likes Received: 12
Trophy Points: 135
duh!! bado wnahitajika wanafunzi wengi sana aise

11. JMC prod

JMC prod Member

#11
Aug 10, 2011
Joined: Aug 4, 2011
Messages: 90
Likes Received: 0
Trophy Points: 13
Mzazi we mkali jus thanx

12. s

siyenda Member

#12
Aug 10, 2011
Joined: Oct 1, 2010
Messages: 58
Likes Received: 0
Trophy Points: 13

Kweli TCU ni waajabu sana,wametudanganya waTz kwamba wangetoa selection mapema lakini hali,tunatakiwa kuchukua hatua tutaendelea kudanganywa mpaka lini?tulio wengi hatuna uwezo wa kuwasaidia watoto wetu kwaajili ya maandalizi kujiunga papo kwa hapo,tunahitaji muda kozi walizochaguliwa pamoja vyuo na viwango vya fedha zinazohitajika.vinginevyo TCU hamtutendei haki.

13. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#13
Aug 10, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,369
Trophy Points: 280
Duh, asante mkuu kwa kutujulisha hilo. Nimeamini watu wananjia nyingi za kujikimu na usumbufu wa maisha. Nimekuta program zangu zipo na nikitaka kuedit wanakataa wanasema first round imeshafungwa.

14. Quicklime

Quicklime Senior Member

#14
Aug 10, 2011
Joined: Mar 30, 2011
Messages: 123
Likes Received: 13
Trophy Points: 35
Mi program zipo lakin source of information kuwa zikiwepo umechaguliwa znapatikana wapi?

15. Vanpopeye

Vanpopeye JF-Expert Member

#15
Aug 10, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 600
Likes Received: 35
Trophy Points: 45
BINGO....

16. Vanpopeye

Vanpopeye JF-Expert Member

#16
Aug 10, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 600
Likes Received: 35
Trophy Points: 45
Nanusa harufu ya MUHMBIL,SUA na ARDHI!YUKLASIIII

17. Perry

Perry JF-Expert Member

#17
Aug 10, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280

co kcmc na bugando tena?

18. data

data JF-Expert Member

#18
Aug 10, 2011
Joined: Apr 9, 2011
Messages: 16,747
Likes Received: 6,524
Trophy Points: 280
kama uko sahihi viiileee!!!??

19. Monasha

Monasha JF-Expert Member

#19
Aug 11, 2011
Joined: Apr 2, 2011
Messages: 508
Likes Received: 295
Trophy Points: 80
Duh nimeamini kuwa hapa ndo mahala watu wanapoumiza maubongo yao. Hongera kaka tena saaaana.
Mi program zangu zipo na naaamini kuwa nimechaguliwa. Tusubiri tu kwamba tumetupwa wapi.

Wabongo nasi twaweza bhana. Alaaah!

20. Vanpopeye

Vanpopeye JF-Expert Member

#20
Aug 11, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 600
Likes Received: 35
Trophy Points: 45
Ah ah,huko cjapata smell

Loading...