TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

Ni mtandao unasumbua Kuna kipind Ilizinguas kwa muda mrefu ILA tunza sana zile no za malipo
 
hata mm jana iligoma bt leo imekubali,hakikisha capital letter na small letter pia usichanganye.pia usichanganye zero na O.
 
hata mm jana iligoma bt leo imekubali,hakikisha capital letter na small letter pia usichanganye.pia usichanganye zero na O.
N

isaidie kwa hili bwana: Kijana wangu amepata physics B, chemistry B+ biology B+. akijaza UDM medicine inakataa kuwa point ni 5 zinazohitajika (system inasema yeye ana 4 wakati sio kweli). Vyuo vyote vingine vimekubali. anataka kujaza Muhimbili, CUHAS na Udom. Please help
 
ngoja wakuu wenye uelewa waje
 
Kila mara huwa tunasema wasomi wa nchi hii ni wa hovyo hovyo tuu! Hivi kweli watu wanaoshughulikia mambo ya elimu ya juu ndiyo wanaweza kuwa wanafanya mambo yao hovyo hovyo namna hii? Toka jana nimefanya majaribio yote ya kufanya registration kwenye system kwa ajili ya application, lakini sioni chochote na huku hela yangu wameshachukua. Nimejaribu kupiga simu kwa kupitia namba walizoziweka kwenye site yao nimetoka patupu.
  • Helpdesk #: (+255)-22-2772657, 0765027990, 0674656237 and 0683921928
Hizo namba za mkononi zote hazipatikani, na hiyo ya mezani ipo busy masaa 24. Nipo desperate kwa sababu ninamsaidia kufanya application mtoto wa bush sana, ambaye amejaribu kuomba kwa kupitia huko kijijini bila mafanikio. Ameniomba nimsaidie lakini ninachokishuhudia ni cha hovyo kuwahi kukifikiria hasa kwa mtandao unaoshughulikia elimu ya juu.

Hawa watu ndiyo wanatufundisha habari za uongozi bora, ndiyo wanaofanya tafiti na kuelewa maana halisi ya kutoa huduma zilizotukuka. Hawa ndiyo wanaoshauri makapuni na serikali juu ya utendaji bora, yet wao wenyewe wanafanya the worst? Aibu gani hii? How can i trust these guys, kama wenyewe wanatoa huduma za hovyo hovyo kiasi hiki? I am very disappointed.
 
Pole sana lakini me nimemwombea Mdogo wangu wala haijasumbua Na ilinichukua kati ya dakika 10 mpaka 20 kuwa nimemaliza.
 
Pole sana lakini me nimemwombea Mdogo wangu wala haijasumbua Na ilinichukua kati ya dakika 10 mpaka 20 kuwa nimemaliza.
Labda imekuwa kimeo leo tu. Yaani ni shida tupu. Sasa bora na hizo simu zao zingekuwa zinapatikana ili nijue tatizo ni nini?
 
Sio leo tuu tokea jumapili. mimi hadi leo nimeshindwa kuendelea...nimeishia kwenye self regstration option zingine huwezi kundelea. cm either ziko busy au hazipataikani kabisa, wababoa mno
 
mimi jumapili nilipojiregister page ya disclaimer haikuwepo ndio inajitokeza leo
 
Apply usiku hivi.. System inakuwa hai-jam.. Believe me... It works...
 
Back
Top Bottom