Duuh haya mambo usipokuwa makini muda unaisha bila kujua.
Maana my young sis ameambiwa mwisho wa mwezi August ndio mwisho sasa lipi kweli.
Mkuu iyo taarifa yako ipo na source yoyote unipe nikashuhudiee?
Nami pia nina Ndugu yangu amepatwa na tatizo kama lako na akiwapigia nacte wanasema tatizo liko kwa watu wa voda voda nao wakipigiwa wanasema tatizo liko kwa nacte sijui tutafanyaje......muda Wameongeza mpaka tar 2.august
Hivi na hao wanafunzi waliomaliza form six mwaka huu wakachaguliwa kwenda JKT wataaaply vyuo lini??
nawashauri muende kwenye ofisi zao za tcu labda mtapata suluhuSasa hapo si ni hatari mie mpaka leo bado sijajua nafanyaje
Hivi na hao wanafunzi waliomaliza form six mwaka huu wakachaguliwa kwenda JKT wataaaply vyuo lini??
jaribu leo kuanzia mida ya sita mchana , inawezekana jana ilisumbua kwa sababu ya weekend !