TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

hiv jaman form six wanaruhusiwa kuanza application au mpaka matokeo yatoke.
 
Vipi wakuu inamaana sasa applications tcu ni kabla ya matokeo? tafadhali naomba mnijuze wadau.
 
kwa ambaye ana apply diploma kuna haja ku
uploads transcription au vyeti vinatosha?
 
kwa yeyote alieyamaliza kujisajili tcu kwa kutumia cheti cha form 6............hiv kwenye additional details kipengele cha kujaza form 6 index number unaandika namba ya form 6 ama index number ya form 4/.....msaada wakuu.
 
2. Important datesIn order for the applications to be considered and processed without due stress, applicants are advised to observeand adhere to the dates indicated in Table 1. Failure to adhere to these dates may result into rejection ofapplications. In any case, no admission will be processed beyond the set deadlines.Table 1: Important datesS/N Activity Date*1. Lodging of Recognition of Prior Learning (RPL)applications1st April2. Lodging of applications for Form Six applicants whocompleted Form Four from 1988 onwards1st May3. Lodging of applications for Form Six applicants who havecompleted studies in 2015After the releaseof their results4 Deadline for submission of RPL applications 30th June5. Deadline for submission of applications for all applicants 31st August* NB: An almanac with specific dates will be issued for every admission cycle
 
Kuna ndugu namsaidia kumfanyia Application hapa ana Diploma na sasa anajiunga kwa ajili ya Degree sasa hii voucher number kailipia kwa Tigo Pesa kila napoiweka inagoma na badala yake inaandika Error.........Kama inavyojionyesha hapa chini 👇 👇

Msaada kwa wenye ufahamu juu ya hili tafadhali
 
Attachments

  • 1437043301897.jpg
    1437043301897.jpg
    82.1 KB · Views: 241
Kuna ndugu namsaidia kumfanyia Application hapa ana Diploma na sasa anajiunga kwa ajili ya Degree sasa hii voucher number kailipia kwa Tigo Pesa kila napoiweka inagoma na badala yake inaandika Error.........Kama inavyojionyesha hapa chini 👇 👇

Msaada kwa wenye ufahamu juu ya hili tafadhali

Pole dear ina maana hiyo C.A.S haitambui hayo malipo yanayofanyika kupitia Tigopesa au?maana kwa hiyo picha uloiweka nikama vile wanataka malipo yawe kwa Mpesa tu..lakn sina hakika maana katika guiding book yao hapo juu wameainisha malipo kwa njia zote tatu..Mpesa..Tigopesa na Max Malipo sasa kwanini wakupe message hiyo?
Ngoja wataalam wetu wa hili Jukwaa waje kukufahamisha pole sana!!
 
Ahsante mwaya yaani ndio nashindwa kuelewa kwanini inaandika ivo wakati wao wenyewe wametoa Options zao kua waeza lipia Tigopesa,Mpesa na Max Malipo sasa sielewi kwanini imegoma niko na dogo hapa yaan hofu tupu ukizingatia pesa ishaenda
 
Sasa afanyeje na ameshalipia kwenye iyo Tigo Pesa?

Hapo sina la kujibu......Labda awapigie Tigo pesa awaeleze hilo tatizo na ikishindikana wa reverse pesa zake.Watanzania haya ni baadhi tu ya matatizo tunayopata sisi watoto wenu tunaotafuta elimu ya juu...na tunapomaliza hakuna ajira kwani waliopo maofisini hawataki kustaafu na tena wanatumia ushirikina kuwamaliza wenzao.....SHAME ON YOU musiotaka kustaafu.
 
Dah inahuzunisha kwakweli yaani hii nchi kila kitu ni Shida nimewapigia watu wa Tigo wamesema pesa imeshapokelewa na T.C.U. haiko kwenye milki yao na wamesema ni ngumu kurejeshewa
 
Back
Top Bottom