TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

Dah inahuzunisha kwakweli yaani hii nchi kila kitu ni Shida nimewapigia watu wa Tigo wamesema pesa imeshapokelewa na T.C.U. haiko kwenye milki yao na wamesema ni ngumu .

Wandungu inatia uchungu namna gani.....Wajameni TUSAIDIENI kupiga kelele haya madhila yatokomee.Kama upo Dar nakushauri ingia TCU kwa upole na unyenyekevu wafanye mambi zao manualy.
 
Kuna ndugu namsaidia kumfanyia Application hapa ana Diploma na sasa anajiunga kwa ajili ya Degree sasa hii voucher number kailipia kwa Tigo Pesa kila napoiweka inagoma na badala yake inaandika Error.........Kama inavyojionyesha hapa chini í-½í±‡ í-½í±‡

Msaada kwa wenye ufahamu juu ya hili tafadhali

cha kufanya hapo ndugu ni kuangalia vizuri hizo confirmation code za sms ya malipo then jaribu kuzijaza vizuri tena mara nyingine huwa ni tatizo la network na system ya NACTE au TCU wao wenyewe ila ikigoma sana jaribu kuwasiliana na NACTE watakusaidia i hope
 
Tumeendelea na hili zoezi mpaka sasa hatujafanikiwa na tukajaribu kupiga zile namba zao za huduma kwa wateja ukipiga simu ikiita tu wanakata kila unavyopiga inaita mara mbili au moja then wanakata

Doh
 
Tumeendelea na hili zoezi mpaka sasa hatujafanikiwa na tukajaribu kupiga zile namba zao za huduma kwa wateja ukipiga simu ikiita tu wanakata kila unavyopiga inaita mara mbili au moja then wanakata

Doh

very sad indeed but jaribu kuwatumia hata email uone response yao ikoje
 
Yaan znagomaga alafu inatakiw u wait baada y saa moj ndo uijaz wala haito sumbua
 
Yaan znagomaga alafu inatakiw u wait baada y saa moj ndo uijaz wala haito sumbua

Me nadhan yuko sawa
 
zingatieni ushauri wana jf msiapply kampala university kina matatizo mengi kwanza mtaaala wa elimu wanaothumia utakufanya uwe nyuma kwa miezi minne dhidi ya wenzako walioaplly vyuo vingine na pia chuo hakijasajiliwa
 
Naombeni ushauri nimelipia application fee kwa mpesa nikiingilia CAS kufanya application wananiambia MPESA CODE ERROR nimewapigia TCU wakanambia niwatumie email na nikituma email hazijibiwi
 
Naombeni ushauri nimelipia application fee kwa mpesa nikiingilia CAS kufanya application wananiambia MPESA CODE ERROR nimewapigia TCU wakanambia niwatumie email na nikituma email hazijibiwi

kuna mdau hapo juu alishauri kuwa unatakiwa usubiri baada ya saa moja na kuendelea ndipo uanze kuziingiza hizo code na kwa maelezo yake anadai ilikubali vizuri tu so jaribu kufuata njia hiyo huenda na ww ikakusaidia pia
 
Nimelipia tarehe 12 Mkuu. Mpaka sasa bado inagoma
 
Nimelipia tarehe 12 Mkuu. Mpaka sasa bado inagoma
Nami pia nina Ndugu yangu amepatwa na tatizo kama lako na akiwapigia nacte wanasema tatizo liko kwa watu wa voda voda nao wakipigiwa wanasema tatizo liko kwa nacte sijui tutafanyaje......muda Wameongeza mpaka tar 2.august
 
Wenye ufahamu juu ya tatizo hili mtusaidie wengi wanasumbuka na nacte hawatoI msaada
 
Wameongeza mpaka tar 2.august

Duuh haya mambo usipokuwa makini muda unaisha bila kujua.
Maana my young sis ameambiwa mwisho wa mwezi August ndio mwisho sasa lipi kweli.
Mkuu iyo taarifa yako ipo na source yoyote unipe nikashuhudiee?
 
Mwenye uelewa kuhusu mikopo ya global link education msaada tafadhal naomba kufaham nipo mbal na ofisi zao
 
Back
Top Bottom