TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

Hiv neno NA linamaana gani?
Dada, humu JF unatakiwa uwe makini unapoweka information zako. Unaweza ukakuta kila kitu kinakuwa hadharani na hata kama umetumia ID, inakuwa haina maana tena. Ona sasa, kila mtu anajua kuwa wewe unaitwa Happiness Godfrey, ulisoma A leve pale Bagamoyo Secondary School, ukapata Division III ya 16 mwaka 2012 na uliscore SSD katika combination yako ya PCM, ukaenda chuo cha Ualimu Monduli na sasa umeapply chuo kupitia equivalent qualification, yaani diploma yako ya ualimu.

Siku nyingine uwe makini
 
Ningekuwa nataka kuficha nsingeweka hapo,and by tha way hiyo infomation haimaanishi mimi ni hyo mtu..jibu swali,asante kwa ushaur though sio mahala pake
 
Mm wananishangaza sana dit wametoa majna ya undergraduate ila 4m6 levers ni wadogo sana ukilinganisha na dip levers lakn MUST wao vise versa na dit alafu ATC wao majna yao yote ni dip levers hakuna hata 1 ambaye ni 4m6 levers,,,,, kulekebishwa naruhusu
 
kwa ATC wanaingia waliotoka diploma kwa sababu wana bachelor kwa civil pekeyake
 
Tatzo humu ndan ckuhz watu wanaendekeza sana ushabki & mapenzi yao hawapend kuongea ukwel ili tusaidiane maana kuna wa2 humu huwa tunautumia ushaur tunaoupata humu sasa mapenzi yakzd kwa unachokipenda tutakuja kupotezana wakuu,,, TUWE WAKWELI ILI TUFAIDIKE NA MTANDAO HUU
 
Kwa kawaida kila mwamba ngoma nafikiri unaelewa. ukitaka majibu sahihi angalau fanya utafiti kwa waajiri na makampuni binafsi ukweli utaujua tu.
 
Ukiona Info zako na capacity zako zmebadilika jua wenda umeshakuwa umechaguliwa!!!! xo be waiting.............afu leo ndo deadline 16.10.2015 saa 11.59 PM.
 
wadau vp kuhusu hii koz ya community health post zina toka lin mana kitambo nasubili sion badiliko lolote kwenye profile
 
Back
Top Bottom