young mdogoo
Senior Member
- Oct 9, 2014
- 120
- 21
daaaah kwa hyo mnashaurije wakuu coz ikisoma zero hata ukiitoa au?
We jamaa acha hizo mambo! Unaeza remove chuo ulichochaguliwa hivi hivi kizembe
Chuo kikishaandika zero hata kule kwenye slot kinapotea (kinaji hide automatic) kwasababu kimeshajaa,
Mara ya kwanza slot zilikuwa 489,mara ya mwishi mm kuangalia zlikuwa zmebaki 460 na coure ya (civil must) ilikuwa imeshajihide ila ukiangalia kwenye profile kwa wale waliokuwa wameiwahi ilikuwa inasoma zero
Sasa ww utajuaje kama ni miongoni mwa waliochaguliwa au co? Na kwenye slot haipo