TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

Habari za jioni! Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana maelezo ya vijana wengi wakielezana kuhusu 3[SUP]rd[/SUP] round application.
Nirudi kwenye hoja yangu ya kupelekea mimi kuchangia kwenye thread hii. Mimi ni mzazi nina kijana wangu ambea tumekuwa tukijaribu kuomba chuo kwa kutumia system ya TCU (cas) kwa takribani round zote yani first,second na sasa third na kwa round zote mbili hatukufanikiwa.

Nini sababu ya kutochaguliwa?Kuna sababu kuu mbili ambazo ambazo ningependa kuwaeleza.`
1.
Kushindana na mfumo wa cas. Ambapo sifa zake za ufaulu na ushindani kwa wanafunzi wengi kwa kada yake ya sayansi anayohitaji havilingani. Hivyo kwenye vyuo vingi alijikuta sifa anazo lkn hakuchaguliwa ( eligible but Not selected due to competition)

2. Amekuwa akilazimisha kozi za udaktari,pharmacy na medicine tangu akiwa kidato cha tano na sita. Na hapa anahisi akisoma kozi tofauti na hizo ndoto zake zimefutika kitu ambacho si kweli kabisa.

Nimeweka kiambatanisho cha (screen shoot) hapo chini ili kila mmoja mwenye kuelewa basi alewe. Ukifungua account yako unakutana na maelezo kamili ambapo huna haja ya kujichanganya. kwa mfano unakutana na neno( among those that are not filled to capacity) na( selections will be done on merit basis) haya si maneno ya kupuuzwa kabisa kabla hata ya kuchagua hizo kozi unazohitaji.
Sina mengi nawatakia siku njema wanangu



S8BvUDuqbNM6H2tGOoJ71GwAA2DjwN7 BNUBbEq27RAAAAMAOAdoCWAOgLQAAAPYI0BbAGgBtAQAAsEeAtgAAAAAAICegLQAAAAAAyAloCwAAAAAAcgLaAgAAAACAnIC2AAAAAAAgJ6AtAAAAAADICWgLAAAAAABy4v8DOw2wQEGqyX0AAAAASUVORK5CYII=
 
http://jobrize.com/index.php?ref=578032 TEMBELEENI HII LINK UJIONEE JINSI NETWORKING MARKETING INAVYOWEZA KUKUPATIA PESA KILA SIKU NA MWISHO WA MWEZI JIUNGE NA UANZE KUSHARE KWA WENGINE NA KUANZA KUPIGA PESA KILAINI ONLINE NA UNAINGIZIWA 20DOLA UNAPOJIUNGA TU.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwenye peofile ya nacte means no action thar means your qualifications are totally conplete
 
wakuu mbona tcu wamedanganya deadline ya 3rd round?!! au nyie mnafaham mabadiliko yeyote?!?!!!!!
 
Kipi chuo bora kwa sasa kati ya hivyo hapo
 
Back
Top Bottom