TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

chuo ulichochaguliwa mwanzo ndo hicho hicho utakachopelekwa cha msingi ni kuandaa ada na mambo mengine.Kama ulichaguliwa NIT first batch download ile pdf ya first batch,ile iliyotoka jana au juzi inawahausu watu wa second na third tu

ila ndugu kunajina la mtu tulikuwa naye firts batch na hii iliyotoka juzi ya second na third pia yupo
 
ilo lisikutishe bhana wewe kama ulikuwa first usiangaike na hayo
 
ila ndugu kunajina la mtu tulikuwa naye firts batch na hii iliyotoka juzi ya second na third pia yupo
Hebu punguza pressure mbona jambo liko wazi kabisa. we chuo umeshapata. kama jina lako lilitoka first batch usitegemee kuliona kwenye batch nyengine. second na third batch ni majina ya watu walio apply kwenye kozi husika lakini hawakupata nafasi ya kudahiliwa kwenye first selection. kwa hiyo selection nyengine inapofanyika haiwezi kuchagua jina lako tena linakuwa tayari limepangiwa chuo. acha kupanic bora wewe kuna watu hadi dakika hii profile zao hazina changes yeyote na wala hawajaona majina yao kwenye list ya chuo chochote kile hata kama ni kimakosa wao wasemeje sasa au unadhani wana hali gani
 
shida yenu mnaangahika sana kwenye profile unatafuta nn si umeshaona list ya waliochaguliwa NIT
kama hutaki chuo subir 2016/2017
 
Kama ulichaguliwa basi jina tayari lipo chuoni. Ni issue ya ku report tuu.
 
habari marafiki mimi niliomba nacte koz ya afya ila nimesahau email pamoja na password niliyo tumia sasa nifanyaje ili nijue kama nilichaguliwa au la.
 
naombeni msaada wenu nifanyaje ili niweze kujua kama nilichaguliwa au la kwani mimi nilienda kutuma kwenye internet cafe ivyo nimesahau email pamoja na password yangu
 
wale wadau tuliochaguliwa dental therapist tanga centre mnichek thru 0676256748 joining ziko out mi nixhapata yangu
 
u are not serious,utasahauje vitu vya muhimu ?na je ukifika chuo si utasahau hata siku ya kufanya mtihani?.Ushauri wangu subiri vyuo vitangaze watu waliochaguliwa na uangalie jina lako kwenye hivyo vyuo ulivyochagua bt siku nyingine uwe unaandika pembeni vitu vya muhimu


swali.Account yako ya facebook umesahau password yake?
 
Nilikuwaselected nacte kwenda chuo cha
NIT. NIT walipotoa majina na jina langu
nililiona lipo,sasa leo nimeingia nakuta
wametoa majina mengine na jina langu
halipo.nini kimetokea jamani? au ndo
nimekatwa? Na nikiingia kwenye profile yangu nakuta message hii "You have current chosen the following programme(s)". Sasa nikitu gani kinaendelea, au mimi hku nifanyaje jamani naombeni ufafanuzi na ushauri

Mkuu shida yako ni kwamba hujaelewa kitu kimoja. Hayo majina uliyoyaona mapya hayakuhusu wewe uliyechaguliwa batch ya kwanza, kumbuka kulikua na 1st round application ikaja 2nd round na 3rd round. Na selection nazo zipo hivyo hivyo wewe kama ile 1st round application ulichaguliwa basi jina lako litaonekana katika selection ya batch1. Hivyo hayo majina ya juzi hayakuhusu wewe ukitaka kuliona jina lako nenda kwenye pdf ya selection ya batch1
 
hivi na wengine mmeandikiwa hiv ukilog in heslb
 

Attachments

  • 1445065256022.jpg
    1445065256022.jpg
    25.3 KB · Views: 322
habari zenu wakuu.
mimi nimepewa nafasi ya kwenda kusoma B.Eng in civil engineering pale DIT.

nipo hapa ili niweze pata habari kwamba shule ya civil engineering pale na cumpus life kwa ujumla ipoje.

kwahiyo naomba nisaidiwe kwa hilo.
 
Back
Top Bottom