TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

hahaha muwe na subira wote mtakuwa selected by NACTE next week
 
Ukiona Info zako na capacity zako zmebadilika jua umeshachaguliwa!!!! xo be waiting.............afu leo ndo deadline 16.10.2015 saa 11.59 PM.

We ka nani? Utakuwa. Una pumuliwa kisogoni,
 
Kila aliyekuwa selected .mambo yamerudi upya .na hakuna tena cha selected .na sjui kwanni ?? Ila kesho jumamosi ..ngonja tuwasubiri jumatatu
 
Mm wananishangaza sana dit wametoa majna ya undergraduate ila 4m6 levers ni wadogo sana ukilinganisha na dip levers lakn MUST wao vise versa na dit alafu ATC wao majna yao yote ni dip levers hakuna hata 1 ambaye ni 4m6 levers,,,,, kulekebishwa naruhusu

Wanaoweza mudu masomo ya degree katika technical colleges ni diploma holders tu ila Form 6 mkachukue bachelor za engineering za kike za udsm,ardhi na udom,lakini dit,ATC,must ni engineering kweli na sio science in engineering
 
Kila aliyekuwa selected .mambo yamerudi upya .na hakuna tena cha selected .na sjui kwanni ?? Ila kesho jumamosi ..ngonja tuwasubiri jumatatu

muwe nasubira watu wako busy na mchakato wenu xo wait kmbukeni wengine wametuma maombi kusimamia uchaguzi xo just wait plz!!!!!.
 
me nimetumiwa na chuo sms ya kwenda kuchukua join kwa hyo hata ikibadilika profile haina shida kwa sababu nimeshachaguliwa. kwa wale walio bado subirini udahili umefungwa kwa hyo kinachofuata kila atakaeona chochote kwenye profile yake basi ndo haki yake
 
chuo gani mkuu?
 
Yah Coet degree za kike ndio,huwez linganisha Bachelor of Engineering in Civil engineering ya Dit na Bachelor of Science in Civil engineering ya Coet.

Vijana msipagawe na majina ya course na vyuo.Chuo cha kweli ni MTAANI.Nendeni mkapige shule malizeni halafu mrudi mtaani hapo ndio mwanaume au mwanamke atajulikana.
 
Back
Top Bottom