Arlnorldiey
Member
- Oct 9, 2015
- 15
- 6
....jaribu kuomba chuo ambacho kina kozi unayotaka ukifika hapo uombe kubadilisha...hope utafanikiwa....bt n vzur hta ukikataliwa md njoo coz nyingne kama bpharm, lab, nursng, dentst, na nyinginezo...poa jaribu vyuo vyetu walivoviita vya viraza kama cuhas, kcmc,imtu, st.francs n.k.....hope utafanikiwa...bt ikishindikana zaid bas anzia diploma ya pharmacy au lab then mbelen utajiendeleza....n hayo tu boy...